cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,333
- 188,003
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahSema huyu mtu alieleta stika alaaniwe anatunyima uhundo sana
Hebu tema mate tumpigeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahSema huyu mtu alieleta stika alaaniwe anatunyima uhundo sana
Rangi ya mtumeeee MarshalaahNapenda kuwatakia wana selfika wote kheri ya mwaka mpyaaa,
Sina mengi zaidi ya kushukuru kufika hadi siku ya leo, nimepita mengi mazuri na mabaya huu mwaka. Ila leo tuna uaga rasmi.
Hapa JF n nyumbani na Selfika ni chumbani, na wadau wa jukwaa hili ni familia. Pale nilipokosea mnisamehe, mie ni binadamu nna mapungufu na madhaifuu yangu, mnivumilie. Wale wote walio nikosea kwa moyo mkunjufu mie nimewasamehee tuanze upyaaa na tugange yajayo.
Nawapendaaaaa wotee, mnaonipendaaa na mnao nichukiaaa, wotee mie nawapendaaaaa [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Happy New Year 2023.
By
cocastic View attachment 2464863
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanxxieeh!! [emoji120][emoji120][emoji120][emoji3590][emoji3590]
EmojiUmeona nini ??
Utanipa akaunti namba nikutumie kwa Money Gram 🤪🤸🤸Mie hiyo 1 tyuuh itanitoshaaaa sanaaaa.
Sitaki kulewaaa sanaaa, Mr kimamboo hataki mchezoooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi stika hazitutendei haki kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Hebu tema mate tumpigeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Narembuajee hapaaa usingizi kiloooo soon ntapitiwa na usingizi Ikifika saa sita kasoro 5 mniamsheHayo mausingizi yako umeyahamishia huku?
Bwana weeRangi ya mtumeeee Marshalaah
Nakupendaaaaaaa sanaaaaaa shougaaaaa mbogaaaa akeee,Nougaaa sana kipenzi pozi zako tyu mi hoooooiiiiii[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji3531][emoji3531][emoji3531]!
Nasie tunakupenda sanaa trenaa sanaaaa tyuuu diaaaa uwepo wako ni muhimu sana Selfika mamaaa!!
Unachangamsha sana uziii kwa Staili yako ya kipekee sanaa darling [emoji3577][emoji3577]
Tonniah loves you much more sweetheart [emoji3531][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]!!
Wee mwenyewe yako umeweka stika[emoji16]! Toa watu watoe[emoji41]Hizi stika hazitutendei haki kabisa
Ahsanteeeeeeeeh Dear [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Fashonistar[emoji93]
Kheri ya mwaka mpya kwako pia[emoji1635][emoji173]
Ammmmiiiiinaaaaaaa kubwaaaaaaaaaa...tenaaa kubwaaaaa sanaaaaaaaa [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]!!Nakupendaaaaaaa sanaaaaaa shougaaaaa mbogaaaa akeee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua had nikiwa nje ya JF naweweseka na wee, utakuta naongea na mtu as if napiga umbea na wee sometimes huwa wanashangaa had najistukiaaaa.
Ushougaaa wetu unogeeeee mileleeee. [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tublesss basi na kapicha in Antonia voisiiiEmoji
Ya kwangu utaiona kule e e e e e eWee mwenyewe yako umeweka stika[emoji16]! Toa watu watoe[emoji41]
Eendiwoooooooooo mkuu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wapiiiii, michoshoooo tyuuh.Rangi ya mtumeeee Marshalaah
NaaamBwana wee
Wapii????? kwa Umughaka ama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]???Ya kwangu utaiona kule e e e e e e