Awwwwwwwwwww First Born anaonekana yuko hoooooottttt 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 babuuu ana swagger wanazopenda kina cocastic !Babu yako Umri umenitupa Mkono Mjukuu 🙈.
Hapa nina picha ya first born wangu tulipiga miaka Ile tunaanza shughuli zetu za Uvuvi ziwani🤪
View attachment 2464758
Babu yako Umri umenitupa Mkono Mjukuu.
Hapa nina picha ya first born wangu tulipiga miaka Ile tunaanza shughuli zetu za Uvuvi ziwani
View attachment 2464758
Awwwwwwwwwww First Born anaonekana yuko hooooootttttbabuuu ana swagger wanazopenda kina cocastic !
Wigelekelo Carrasco putin wahini hukuu muone First Born wa zee lenu la mchongo dogo lamotrooooooo!
Kijana mdogo unajita babu?🤣Babu yako Umri umenitupa Mkono Mjukuu 🙈.
Hapa nina picha ya first born wangu tulipiga miaka Ile tunaanza shughuli zetu za Uvuvi ziwani🤪
View attachment 2464758
Aminaa kubwaaaaaaaaaaa wa Vipaji nakwako pia uwe na mwaka mpya 2023 mwema sana kwako na watu wako woteeee!!Wakuu wangu,
Mkawe na 2023 ile yenyewe kabisa, mafanikio katika kila mnachofanya kwa wema,
afya njema kabisa,
wenye kutaka wake mkapate,
wenye wahitaji wa waume mkapate, wenye kuhitaji watoto mkapate,
sisi tunaotaka pesa tuzidi kuzipata.
Zaidi sana, tuzidi kuhusiana kwa upendo. Niliyemkosea basi aniwie radhi sana voz mimi hata sio mgomvi🤣
Love you wote "wana-mapichapicha"
Asante madam, nimekuchokoza zana na zile CC but always calm wala hujamind, mfano mzuri sana wewe. Upate kila moyo wako unachotamani kupata kwa wema.Aminaa kubwaaaaaaaaaaa wa Vipaji nakwako pia uwe na mwaka mpya 2023 mwema sana kwako na watu wako woteeee!!
Wewe si unapenda mabishooo wavaa vipensi😁😁😁😁!!
HujamboWewe si unapenda mabishooo wavaa vipensi!!
Usiwaze kabesaa rafikiiii this is just a social network with lots of fake life Hakuna sababu ya kukompliketi maisha yahumu kiivo kujiumiza moyo kwa sababu za kiwaki tu!!Asante madam, nimekuchokoza zana na zile CC but always calm wala hujamind, mfano mzuri sana wewe. Upate kila moyo wako unachotamani kupata kwa wema.
Sijambo Sumbai za miaka mingi???Hujambo
Mimi nimekusamehe kabisaa nimekusamehe kutoka kwenye Uvungu wa roho kabisaa maana kuna pande moja ulipaswa uconnectWakuu wangu,
Mkawe na 2023 ile yenyewe kabisa, mafanikio katika kila mnachofanya kwa wema,
afya njema kabisa,
wenye kutaka wake mkapate,
wenye wahitaji wa waume mkapate, wenye kuhitaji watoto mkapate,
sisi tunaotaka pesa tuzidi kuzipata.
Zaidi sana, tuzidi kuhusiana kwa upendo. Niliyemkosea basi aniwie radhi sana voz mimi hata sio mgomvi
Love you wote "wana-mapichapicha"
Njema saana saana saaana.Sijambo Sumbai za miaka mingi???
Ila wewe sijakukosea dogo, connection ni swala la muda tu, ngoja tubinue mwaka kwanza mkuu. Pela niachie, ile ni mali halali kwa ajili yangu.Mimi nimekusamehe kabisaa nimekusamehe kutoka kwenye Uvungu wa roho kabisaa maana kuna pande moja ulipaswa uconnect
Ila Yule pela.... Sijamsamehe
Happy new year Bantu ladyHello Last day of the YearView attachment 2464334
Sijakutww na chochote kipenzi changu ni katika hali ya kibinadamu tunapishana kauli kidogo
Shangaa Nawewe wa Vipaji kumbe yanki tu anatuzuga eti babu lol kumbe Selfika tuna watu mahendsamu balaa humu Hakyanani uwiiiiiii!!Kijana mdogo unajita babu?🤣
Heri ya mwaka mpya chief !
Thank you my love Antonnia 😘😘😘😘Awwwwwwwwwww 😍😍😍😍😍😍😍!
Huu ndio mshepu Og sasa uuuuuwwiiii♥️♥️♥️♥️♥️!
So beautiful mamy!😘!
Ngoja nichungulie kwa gallery hapa chap!!Shangaa Nawewe wa Vipaji kumbe yanki tu anatuzuga eti babu lol kumbe Selfika tuna watu mahendsamu balaa humu Hakyanani uwiiiiiii!!
Haya nawee fanya wepesi tubarikiwe sie Best
Bora umeonaKijana mdogo unajita babu?
Heri ya mwaka mpya chief !