Msanii sana huyoMwenyewe nimeshangaa
Hii picha niliiona mwaka juzi
Nikiwa Zimbabwe
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mguuu mzuri saana huo [emoji3590]Wanaselfika hamjambo jaman …naombeni msaada yeyote mwenye kujua hivi viatu vya kutoka Kenya wapi naweza kuvipata nitashukuru.nilijaribu mara nyingi kuvitafuta kwenye duka nililonunulia sikufanikiwa kuvipata kama hivi..ninapata vyenye kipira katikati[emoji18]nilikwenda duka fulani Moshi stand ya Arusha Kwa pembeni lakini pia sikupata[emoji18].mwenye anajua duka linakopatikana kindly link me up jamani.vinakuwaga na chapa juu yakisigino
View attachment 2463644
Usitamani mtu mkeMguuu mzuri saana huo [emoji3590]
Nyau weMbona kama editing
Mkono wa baunsa🤣🤣
NkikiNyau we
Em nipigie
Nimepata stress
Nitakufa 😂😂😂Nkiki
Ngoja nile nishibe ndio nisikilize hizo stress zako
Af hapa niangalie Kina adi saa 3 ndio nitakua available🤣🤣Nitakufa 😂😂😂
Dah kuna haja ya katiba mpyaUsitamani mtu mke
Maana utakuwa umezini
Selfika 20:10
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Pipi imebaki 1Af hapa niangalie Kina adi saa 3 ndio nitakua available🤣🤣
Usilie bana, kula pipi wakati huu unanisubiria
Mi ni mshangazi dear balaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Niko makini na hizo kucha,urembo twataka piaYaniii umejaaaaa[emoji7][emoji7][emoji7]!!
Kama humchomi Hapo sawa!
Weee kumbe ulikua libongee zaidi sasa lol!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sumbaiNimeona lishangazi moja Kali sana.
Hatuitani huku kabisaa braza.
siuachie uso huo jamani☹️#flashbackView attachment 2463680
Hahaa Momo analea saivi usimsumbuePipi imebaki 1
Naitunza
Na mm saa 2 niko busy na Huba
Mpk nimalize yalaiti saa 4 na nusu.
Kwendraaaa
Ngoja nimpigie momo
Mimi nimeimiss tu hii keki yako#flashbackView attachment 2463680