Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
Sea cliff Hotel 😂😂😂😂Em nipewe nione😂
Nimevurugwa na kavideo huyo mtu aliyeweka
Nikashindwa kunyamqza aise mpk nijue location.
Dah sijategemea
Sea cliff Hotel 😂😂😂😂Em nipewe nione😂
Okay okay okay thanksPella nini sijui anaitwa![]()
😂😂😂😂 siku zimeisha kimasihara sanaTutakuvuta hadi jijini hautaamini🤣🤣
Haha with a good will. Maana hizi Id mpya zinachanganya saana.Unataka ujue babe wangu yuko wapi mkuu![]()
Na Bado
Hahaa kumbe ni hapoSea cliff Hotel 😂😂😂😂
Nimevurugwa na kavideo huyo mtu aliyeweka
Nikashindwa kunyamqza aise mpk nijue location.
Dah sijategemea
Na Bado
Nasubiri muanze kuvaa vitenge
Share sare dadek
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Ng'wanike ulemholaHello msukuma
Video kali sanaaaaHahaa kumbe ni hapo
Em video nione
Kutoka kijiweni kwangu na hapo ni mwendo wa dk chache sana, ukuje nikupeleke
Watu wenye aifon mnakuaga na mazarau sana, hivi ni kwaniniVideo kali sanaaaa
Sema tekno yake imemuangusha kwenye quality
Siji
Si mlikataa nisije
Mkaona haitoshi, mkanipiga kitu simu ipotee
Nimeona neno kimasikhara nimeshtukasiku zimeisha kimasihara sana
BLWige msinigombanishe bwana, hujaona maneno ya Antonnia, mnasumbuka kumbe kuna mwamba anakula mema ya nchi, nyie endeleeni kubwabwaja hapo![]()
Ni Li zuriAloooo mtoto mzur dimple tamu za mwaka 2022 dahh kuna watu wanafaid bana
Acha udomo zegeBasi mimi huwa nachukua maneno ya mwanzo kabisa..
Aifon which 🤣Watu wenye aifon mnakuaga na mazarau sana, hivi ni kwanini
Kwahiyo umesusa?😂
Njoo tukupe treatment hujawahi pewa tangia uanze kuvaa high heels
"We the best" you know waraimin
Sijambo kabisaWigelekelo
Nakusalimia kakake