Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,750
- 109,845
em dimples...
View attachment 1265763
Miaka 7 iliyopita [emoji12]
View attachment 1265763
Miaka 7 iliyopita [emoji12]
Ngonga Kyela.Ngonga Kyela au Ngonga Mbeya??
Hatimaye umeamua kuvunja ukimya. Kazi kwetu sasa tunaoficha sura zetu.View attachment 1265763
Miaka 7 iliyopita 😜
......[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ye babaHatimaye umeamua kuvunja ukimya.
#marhabaaa[emoji87][emoji125]
#shikamoo
Fichua basi....au unakeshaga jukwaa la siasa?Hatimaye umeamua kuvunja ukimya. Kazi kwetu sasa tunaoficha sura zetu.
Ili ajue kwamba shemeji yangu anamsaliti
Mashallahhhh....View attachment 1265763
Miaka 7 iliyopita [emoji12]
View attachment 1265763
Miaka 7 iliyopita [emoji12]
Tunashukuru. Hiyo emoji umeficha nini hapo ? Ila hiyo miaka 7 nna wasiwasi nayo. Maana hapo unazungumzia 2012. Simu gani ilikuwa na Kemera yenye megapixel zote hizo za kutoa picha ang'avu kiasi hicho ?Ye baba
Jukwaa la Elimu kule.Fichua basi....au unakeshaga jukwaa la siasa?
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana nini tena?
Unataka niitoe? Myb nifanye kuisogeza pembeni... Simu Nokia lumia, usiniambie ulikuwa bado mdogo miaka hiyo mpaka ushangae hivyoTunashukuru. Hiyo emoji umeficha nini hapo ? Ila hiyo miaka 7 nna wasiwasi nayo. Maana hapo unazungumzia 2012. Simu gani ilikuwa na Kemera yenye megapixel zote hizo za kutoa picha ang'avu kiasi hicho ?
Haha kule hakuna nomaJukwaa la Elimu kule.
Suede....
View attachment 1265740