Selfika na JF: Snap it. Show it

Nathibishaje?

Fanya kunipa nihakikishe

Kama kweli

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jana usiku kaja PM mtu na heshima zake, ndo anaanza kuniambia hayooo maraa ooh niwe makini ntapata ukimwi na magonjwa ya zinaa,.

Nabaki kushaangaaa wanaume gan wa JF ambao mie nadate nao, jibu sipatii, mara tume inaundwaaaa kwa ajiri yanguu. Khaaah

Nasema waje na vyeti halali vya ndoa, sita deal na michepuko mie.

Watu wanakopwaaaa mbususu na ahadi za kujengewa, mara iphone13 ,wengine had wanapigwa mtungo, hasiraa wanaletaa kwangu, mie ndo nawatumaga? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanitueeee kabisaaa, ndo nasubiriiii hapaaa wakujeeeeeee. Km wao ni makahabaa wazoefu, mie ni malayaa niliye kubuhuuuu. Na ntawajuza km kachumbali ni mbogaa au kiungo cha wali, na watafahamu km penalty ni mpira wa adhabu au dharuraaa, mxxxxieeeeeeeeew

Wanipumzisheeee kwan khaaaaaah,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivyo vibabuuu vitakufiaa kifuaniiii.
Utapata case ya kuua kwa kuto kusudia shauri yakooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aririiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii watu na watu wao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikinukaaaaaa hatutaki kelele na vilioooooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi inatoa harufu ya mshikakiiiiii???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wajipangee haswaaa waoo nahizo team zaoo mbona utawacharuaa mmoja baada ya mwingine hawajui coca ni jeshi la mtu mmoja!!
Kwanza umeiba bwana wanani kwanzzaa mi Naona kila Mtu na mtuwe hukoo makwao humu! Mbona watu wana hekaheka!!

Wakuwachee kwakweli!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi inatoa harufu ya mshikakiiiiii???

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣! Sina hamuu hapaa shossss mafuta mafutaa sijui ule unene minyama uzembe kwishaaaa😁😁😁🤣🤣!
Ngoja kesho nitatupia uone nivonyooshwa🤣🤣🤣👌👌!!
Sema nimekua mtramuuuu😛😛😛😛!!
 
Chukuaa hii ya chini kabisaaa, utanougajeeeee dear, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Utawakaaaa sanaaaa shougaaaaaa akeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Lol sawaa ! Hio ni mbato lina mpasuooo mmoja usawa wa mbele ya aa mrefuuu sana hadi kwenye pajaaa!
Hilo la kati chini mshazari chini umeemwagaa sana .. hilo la juu chii ni olo isiyoachia
 
Hebu niwekeeeee na mieeee nikuoneeee ulivyoo mtoto mteke tekeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kunyooshwaa viungooooo.
Woiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…