Selfika na JF: Snap it. Show it

Eti nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unatafutaaaa ugomvi wa ngumii sasa, mie msemaji wa watu toka lini? Afu unanihujumuu shougaaaaaaaaaaa

Wee wa kushindwaa kuniambiaaa mie kuna tume inaundwaa kwa ajiri yangu eti naiba mabwana wa watu, mwanzo nilijuaga fix tyuuh kumbe kweli bhanaaa, tume inaundwaa kunisaulaaaaaa woiiiiiiihh.


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko unataka nisaulweee afu unipee poleee ya kinafikiiii? Ntakubondaaaa nakuambiaaa wee c ndo inabidiii uniteteee au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu wamevurugwaaaaa, km wanatoa nyapuuuu kizembeee na wanakopwaaaaa hasira kwa cocaaaa mbna sio shida zangu eti. Naombaaa uwaambie hao wana tume watakavokuja kwangu wasisahau vyeti halali vya ndoa, sita deal na michepukooooooo mie.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF sihamiiiiii kamweeeeeh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwendraaaaaaah hukooooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu deal na wezi wako kwan, nimekumic mnooooooi

Sent using Jamii Forums mobile app
Miss you more sweetheart ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜wezi wamejua kunikomeshaa mbonaa!!

Hapaa safari ya Dar Desemba hii mie ndio imekufaaa hivoo narudi kukarabati milango lol wezi manina zaoooo!!
 
mwendo kasi wana kera hao ,wanachezea tu hela .. siku tumepanda wawili kwa mia tatu . tumempa buku mbili hapo .

nimepotea leo sina hamu ... miguu inauma hapa
 
Miss you more sweetheart [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]wezi wamejua kunikomeshaa mbonaa!!

Hapaa safari ya Dar Desemba hii mie ndio imekufaaa hivoo narudi kukarabati milango lol wezi manina zaoooo!!
Daaaaah ila weziii, afu wakikamatwaa wakiuawa utaskia sio vizuri.
Nasemaga wabondwee tyuuh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ!
Sio shida zako hizoo shosss wapambane na mabwana zaoo hukoo! Wajua mie nivokua wamwisho kupata habari humu Sinaga aa wala bee naanzaje kukunafkia kipenzi uwiiii!!
Wenyewe wanapangwa wakapangika ka sie tunavopangwa tyu watruuukooomeeeee!!

Halafu mapenzi kama siti za basii tyu akishuka huyu mwingine anakaa nini makasiriko sasa watruuuu na nyota zenyuuuu!!๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ
Utakua umewazidi ketreeee shougaanguuu huyo mganga wako usimuacheeeee!!

Nakazia hapo 'Wenye vyeti vyao halali vya ndoa ndio wabwekeee na si chapwa ilaleeer watulize mishono ka mie tyu hapaa!! mmxxcieeewww๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Wakweendrreeeeeeeeee!
 
Mguu mtamu nyororo guu la kufungia mwaka hili [emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji39][emoji39]
Mjini hapa kuna vya watu

Hako kamoyo kako kasikopitwa

Utakuja kufa kizembe

Hela huna hivi unadhani wa kuingia loji huyu?

Kaa kwa utulivu

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Daaaaah ila weziii, afu wakikamatwaa wakiuawa utaskia sio vizuri.
Nasemaga wabondwee tyuuh.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wezi sioo kabisaaa!!!

Nishaongea na sweetdaddie akee auuuweeeeeehhh Jmos naenda shopping miyeeee!! Watruu na vibabu vyeeiiiituuuuu wwweeeeuuuweeehhh๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›!!!!!!!
 
im happy for you
mambo hayo
Mungu ni mwema ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ