Uhair 👌😍
Tramuuu sanaaaa!December tamu hii
acha watu waenjoy ..
Thank you beautiful sisMamaa Lipssss 👌👌👌👌 So Beautiful 😍😍😍😍!
Umenougaaaa😘😘
enjoyini tu nyieTramuuu sanaaaa!
Full burudaaaanneee 💃💃
Wee sema kweli??? Kwanini ndefu?? Kwahio sie tunaonyoa ndio mnataka kusemaje lakini???😁😁😍😍
ndo twaubembeleza jana Anne kanipa ushauri kuwa men wanapenda ke wenye nywele ndefu .
kwani ushanyoa ?Wee sema kweli??? Kwanini ndefu?? Kwahio sie tunaonyoa ndio mnataka kusemaje lakini???😁😁
😂 Nimepita sehemu nimekuta watu wanalalama we ni ME! Nimecheka sana ulifanyaje mpaka ukashukiwa kuwa dume kaka wa Carrasco putin na Wigelekelo 😂Poker we ngumbalu bora ulivyobadili Hilo jina
Hahahaa😍😍
ndo twaubembeleza jana Anne kanipa ushauri kuwa men wanapenda ke wenye nywele ndefu .
Wa usafi 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂Acha tu..yule mwamba alinifananisha na yule ticha wa uyole kua ni me and him/her ni mtu mmoja nahisi sababu yule ticha Kuna muda anacomment kiume🤣🤣😂 Nimepita sehemu nimekuta watu wanalalama we ni ME! Nimecheka sana ulifanyaje mpaka ukashukiwa kuwa dume kaka wa Carrasco putin na Wigelekelo 😂
Ooh yeahHahahaa
Inategemea ntu na ntu
Kama huyu kijana wangu anapenda upara
Nakwambiaaaa em anza kupack kabisa kibegiNiamke saa 1 holiday itakuwa ina maana gani?
Piga mishe mishe hapo tule Mwaka mpya Mbudya 🤣🤣🤣
Hapana sijanyoa!kwani ushanyoa ?
aiseee itabidi tufanye ka research lol .. tuwe na uhakika
Ndio 🤣 mods wanoko sanaWa usafi 😂😂😂