yaani yule ni kichaaa anakutext halfu anapiga video call .. ukipokea anakuambia shusha camera chini usawa wa hips . mimi nilikuwa ovyo hahhaa 😅 nikaona ujinga huu jamani . nikamkatia akaanza kunisema hivi una akili wewe ?
aisee ghafla ananitukana matusi makubwa dah sikumjibu