Itakuwa alikuwa anatafuta mke.
Kuna taasisi tuliendaga fanya part time job.
Jamaa mmoja pale head of operation sijui na nini uko mbele akatuambie tumtumie cv zetu maana huwa Kuna kazi zinatokea.
Tulivotuma cv za wa dada zile jamaa akawa anachukua Namba anaweka whatsap akikuta picha nzuri kwa profile anakutext
Dada mmoja alikula shavu kina mna iyo. Na mpaka leo bado Yuko now.
Hahaha siku ingine usiwe muoga ati.