Selfika na JF: Snap it. Show it

"Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine mmewakaribisha Malaika pasipo Kujua".
WARAKA KWA WAEBRANIA 13:2

Unaweza Kuta na Uzee huu nikakuletea Baraka nyumbani kwako ukinialika, bado sikukuu haijaisha MjueπŸ€—

Hello Monday πŸ₯‚
 
Saint Anne habari kipenzi

natamani kutengeneza door mat ile ya kitambaa .
naomba kuuliza napata wapi vile vitambaa ?
Vitambaa chukua kwa mafundi cherehani
Huwa wanakuwa navyo vingi, utakuwa umewapunguzia mzigo wa kuvitupa na wewe pia watakuwa wamekusaidia.


Ila jiandae mikono yako kuharibika.
 
Inaharibika acha tu
Kucha
Vidole vinapata sugu.
Hadi muda upite pite ndio vinajurudi.

Kimoja tu??
Shona hata vitatu angalau mkono hautaumia sana.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
kimoja eehh ..
navipenda vizuri sana kwa kukunguti miguu

hapo umeniogopesha aisee sitotengeneza kama vinaumiza hivyo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…