Selfika na JF: Snap it. Show it

Hawa wala mihogo sijui wameshindaje leo! πŸ˜₯ Azam wamepambana ila ndio hivo tena. Kesho mnyama hakuna kukata tamaa! Let's Go Simba......... 🦁🦁
 
Kumbe sasa nimeelewa. Haya tuombe uzima. Sasa nifundishe jinsi ya kuweka picha. Kuna siku niliahidi vizuri, nikaweka ila ikatokea namba sijui aaah hata sielewi
Hapa ndio penyewe na vocha utakuwa unapata za bure maana hela zangu hazina kazi πŸ₯°.
Wigelekelo hebu toa maelezo chap namna ya ku-upload picha kwa watumiaji wa tekno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…