Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Kuna li afandemie sio Zoa Zoa, samahani Wigee.
Nilowanee kwa kipi sasa nawee. Khaaaah em hukooom
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooh pakooo gud sanaa, nakujaaa dear,Soon tunaufinya
Karibuni Goba




Zoa zoa ni sabuni ya ngozi.Kuna li afande
Li mushangazi pale check point Lusaka
Baada ya ukaguzi wa gari likaniambia
'When you back bring me zoa zoa I will pay '
Hadi Leo sijajua ni Nini
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app







Washa kabla sim haijazima chaji
Nshawasha mie huku, nasubir tyuuh hiyo nyamaa chomaa.Washa kabla sim haijazima chaji
Inapatikana wapi huko Dar?
Maduka ya Dawa muhimu,Inapatikana wapi huko Dar?
Inaitwa hivyo hivyo zoa zoa?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app






Washa na bluetooth kabisa

I wish ningekaribia !Soon tunaufinya
Karibuni Goba
Uchagani huko, wape hai home huko
Kabisa!!!!🙂Hii kweli unashiba mkuu🤔
Mimi sio sana...natamani zikekuwa plain 🥴🥴
Mbna hapo ndo ziko vizuri saanaaaa, yaan nimezipenda bureeeMimi sio sana...natamani zikekuwa plain![]()