Ndo nachokaaa hapooo tyuuh, afu sasa wote wadada, yule wa kwanza alisema walisoma wote Makongo sec, akat mie hapo Makongo hata Getini sijawahi kanyaga,
Huyu wa leo anasema alisoma nae primary huko Tanga, akat mie Tanga nilienda baada ya 4m 6, na nliishia pale Kabuku Mgambo JKT.
Najiulizaga nimefanana na wangapi? Wenginee utaskia wee si mtu wa kanda ya juu kusini unadanganyaa, mbna uko km mtu wa kanda ya kati.
N tafrani tyuuh.
Sent using
Jamii Forums mobile app