Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Aya ya kwanza ni sawahapana
ni matamanio ya kupata kitu .
na hutulii hadi ukipate .
its common kwa ke .
food cravings zinatokea kutokana a hormones .. unaweza jikuta una crave kitu spicy and salty or muda mwingine ukatamani vitu vitamu (sweets)
au sometimes utamani vichachu
WeweHamna hiyo haki
Matumbo tayari yashafurika kama vifuko vya mchanga
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Siku zote hunaga tumbozege tamu acha tuenjoy wote
kipo kimejaa tele .. toka nipo form six sijui ... watu wakahisi mama k
sijaanza leo.
Wewe si unajificha
niringe yaani 😅Ila picha zako naona huna kitambi
Nilikuona
Unamsingizia 😂Amesema Junia🤣
hahhaa aiseeAya ya kwanza ni sawa
Aya ya karibu na mwisho
Na hiyo ya mwisho ni sawa
Tatizo Aya ya kati
Kwani lazima iwe food cravings
Na sio niaje niaje cravings
Ili kuweza kupata hizo
Sweets na bittersweet?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Flat Nini sijui mnasemagaIla picha zako naona huna kitambi
nimenenepa yaani miezi hii iliyopitaSiku zote hunaga tumbo
Imeenda kuwaje
Hebu funguka tuanze kuandaa mazingira
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Nilikuona
Nikamwambia tukupotezee
Maana kanuna huyo
Ile juzi ulivyonipa asali yako
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Si uliona alipost bahari na meli Kwa mbali?hahhaa aisee
kuna ka hormone kanadrop basi mwili ndo unatamani mambo .
umspoil Anna wige
Nipe namba zake nimkanyeumenichekesha, leo kuna mdada acha akazane ananifahamu hajanifananishaaa.
Mwenzangu ana muambia huyu sio yeye, yeye kakazana ni mie maraa oooh ko umekuja Dar ndo unajifanya hunijui.
Nilichokaaa wallah, yaan afu hii ya 2, ndo maana sometimes huwa sipendi kutembea mda wte kufananishwaaa ukute hata sio, wana. amuagaa kunichoraaa. Naborekaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahah poleumenichekesha, leo kuna mdada acha akazane ananifahamu hajanifananishaaa.
Mwenzangu ana muambia huyu sio yeye, yeye kakazana ni mie maraa oooh ko umekuja Dar ndo unajifanya hunijui.
Nilichokaaa wallah, yaan afu hii ya 2, ndo maana sometimes huwa sipendi kutembea mda wte kufananishwaaa ukute hata sio, wana. amuagaa kunichoraaa. Naborekaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
haha pole sana aseeeSi uliona alipost bahari na meli Kwa mbali?
Huu ujauzito wake unanisumbua sana
Imajini Leo alikuwa anataka harufu ya bahari
Then akataka harufu ya misosi ya mlimani city
Tumepanda mwendokasi naambiwa ninyanyue kwapa anuse
Ni kuvumilia tu
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Ndo nachokaaa hapooo tyuuh, afu sasa wote wadada, yule wa kwanza alisema walisoma wote Makongo sec, akat mie hapo Makongo hata Getini sijawahi kanyaga,hahah pole
its has been a while sijafananishwa
unajiuliza umefanana na wangapi