Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tanga uwa kunasifika kwa Mapishi ila mbona nimefika nakula mavyakula mabaya hayana ladha too much spices yaani daah hapana aisee.

Jana Mlenda umewekwa kitunguu swaumu nikashindwa kabisa kidogo nitapike
Hatari labda wanajua kupika aina fulani ya vyakula kama chapati , ,bites ,vyakula vyenye kuhitaji nazi etc .
 
Umenikumbusha Kuna sehemu nimeishi wenyeji watanga ukitaka kupika anakaa jikoni weka hiki weka hiki nikamuangalia kumbe mwenzie mpishi hasa siku moja nikamzuia nikamwambia nikiingia jikoni usije mbona nilimyoosha hasa Kila anachosema tupike najua kupika kumzidi 😂

hakuna Cha Tanga Wala handeni maviungo tu ila vyakula havina ladha Wachache wanaojua kupika vizuri
Chef wetu wa selfika
spices zinawasaidia sana watu .. la sivyo huli kitu .
 
Umenikumbusha Kuna sehemu nimeishi wenyeji watanga ukitaka kupika anakaa jikoni weka hiki weka hiki nikamuangalia kumbe mwenzie mpishi hasa siku moja nikamzuia nikamwambia nikiingia jikoni usije mbona nilimyoosha hasa Kila anachosema tupike najua kupika kumzidi 😂

hakuna Cha Tanga Wala handeni maviungo tu ila vyakula havina ladha Wachache wanaojua kupika vizuri
ulimkomesha🤣😂😂
Yaani watu tumekariri wakati nimefika nilikua nina kiherehere maana napenda kula ila Dooh kwenye sehemu nilizotembea huu mkoa ndiyo umenidisappoint
 
Music
 
Attachments

  • Screenshot_20221221-194822_Spotify.jpg
    Screenshot_20221221-194822_Spotify.jpg
    309.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221221-192709_Spotify.jpg
    Screenshot_20221221-192709_Spotify.jpg
    329.5 KB · Views: 8
Back
Top Bottom