National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Sijakataa na sijakubali, nimeuliza hilo swali ili kumleta kwenye point nzuri sana akielewa hatopata shida, ndio maana nime muuliza nani kamuambia ndoa ni kusudi la Mungu ?Ko kumbe Ndoa sio kusudi la Mungu?
Mbna mnatuchanganyaa sasa!! Khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaona ndoa ni moango wa Mungu na umesoma kwenye biblia.. Pia Mungu huyo huyo kupitia maandiko katoa miongozo ya wote Me na Ke namna sahihi ya kuishi.. kama utaishi nje ya miongozo hiyo tegemea changamoto kwenye mahusiano yakoGo and read Genesis 1:26-28
The bible clearly states that God designed marriage to reflect his love to the world .Nimekuambia nioneshe wapi na mtazamo mmbaya na wadada au wapi nime dhalilisha hata dada mmoja humu ?
Mwanaume anapenda ; mwanamke mtii, mwanamke msikivu, mwanamke asie mjuaji , na mwanamke alie tayari kufundishika... hapo hakuna mwanaume atae kuwa mgumu wa kutimiza ayatakayo mwanamke pia.. ila kama mwanamke hana hayo kila siku ataachwa na ataona kama hana bahati kumbe anajiroga asiolewe..
Mie nimekuuliza nani kasema ndoa ni kusudi la Mungu, sipo hapa kufanya mijadala ya kidini. Jibu kifupi tu basi
π π π π ukweli mtupu huo ni nyie tu hamjui kujiposition, haiwezekani uwe mchezaji namba tisa unaenda kukaa nyuma kabisa.. utafungaje hapo π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitoleeee fix zako hapaaaa, mxxxieeeeew.
Uongo mtupuuuuz.
Sent using Jamii Forums mobile app
The bible clearly states that God designed marriage to reflect his love to the world .
Marriage is the first institution which God himself established .
I understand women must submit themselves to their men . that's clear ..
Maana hiyo biblia imetoa miongozo mingi ya kufanya na ni kusudi la Mungu na hatufanyi.. Na shida ndio inaanzia hapo.. unataka kula embe lilikomaa bila kupitia process ndio watu wengi wa sasa sio wakaka au wadada wanataka ( product ) na sio kupitia mchakato wakuioata hiyo product.... wanataka ndoa huku hawana tabia za kuwaingiza kwenye ndoa na hii inatoka na kuchagua maandiko ya kuishiThe bible clearly states that God designed marriage to reflect his love to the world .
Marriage is the first institution which God himself established .
I understand women must submit themselves to their men . that's clear ..
The way you ulivyoandika sio poa .. You are implying that women are not getting married because they're not obedient , wajeuri na wabishi .Kama unaona ndoa ni moango wa Mungu na umesoma kwenye biblia.. Pia Mungu huyo huyo kupitia maandiko katoa miongozo ya wote Me na Ke namna sahihi ya kuishi.. kama utaishi nje ya miongozo hiyo tegemea changamoto kwenye mahusiano yako
Wewe si ni Atheist au ?Ko kumbe Ndoa sio kusudi la Mungu?
Mbna mnatuchanganyaa sasa!! Khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema mie masuala ya kiimani hasa kwenyee dini siko huko. Niwaachie wenyewe, ila nimeuliza couz huwa nasikia Ndoa ni kusudio la Mungu, na hataki uzinzi.Sijakataa na sijakubali, nimeuliza hilo swali ili kumleta kwenye point nzuri sana akielewa hatopata shida, ndio maana nime muuliza nani kamuambia ndoa ni kusudi la Mungu ?
mtu anae kuambia habari ana nguvu ya kufanya mtizamo wako kuwa katika namna flani..
nataka kujua kaambiwa na mchungaji wake, Roho wa Mungu, Neno la Mungu kwa ufunuo, au Mungu mwenyewe au kasoma tu humh Jf..
Waache na tabia zao , don't judge ...Maana hiyo biblia imetoa miongozo mingi ya kufanya na ni kusudi la Mungu na hatufanyi.. Na shida ndio inaanzia hapo.. unataka kula embe lilikomaa bila kupitia process ndio watu wengi wa sasa sio wakaka au wadada wanataka ( product ) na sio kupitia mchakato wakuioata hiyo product.... wanataka ndoa huku hawana tabia za kuwaingiza kwenye ndoa na hii inatoka na kuchagua maandiko ya kuishi
Hebu kwendaaaaa hukoooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ukweli mtupu huo ni nyie tu hamjui kujiposition, haiwezekani uwe mchezaji namba tisa unaenda kukaa nyuma kabisa.. utafungaje hapo [emoji1787][emoji1787]
π π π ndoa ni uwajibikaji wa Me na Ke.. Nisome kwa kutulia utanielewaThe way you ulivyoandika sio poa .. You are implying that women are not getting married because they're not obedient , wajeuri na wabishi .
Wakati that's not case in all times
Mnataka hao wanawake wawabebe mgongoni ?
π π π huo ndio ukweli sasa kama hutaki sawa..Hebu kwendaaaaa hukoooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ivi unao wadanganyaa na unawapatiaga kweliiii. Mie sidanganyikii kamwee.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebuu niwacheee naweee, nimeuliza tyuuh.Wewe si ni Atheist au ?
π π π hakuna mahala nime judge.. Mungu anategemea watu kupata wenza katika ujana, ili wazee walee.. na sio uzeeni..Waache na tabia zao , don't judge ...
Life is a journey , who knows watapata wenza wao wakiwa wazeee ?
No one is perfect in this earth ..Umesoma andiko ni vyema sana, ila una taarifa sahihi wa mwanaume na mwanamke kabla ya kuanza hatua za ndoa na mtapo kuwa na ndoa ?
π π π π unaamini science eeeh..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebuu niwacheee naweee, nimeuliza tyuuh.
Sio Atheist wala siko kwenye dini yoyote. Nipo na science tyuuh.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hizo Fix uwe unaangalia wa kumpaaa.[emoji28][emoji28][emoji28] huo ndio ukweli sasa kama hutaki sawa..
Mambo gani hayoooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] unaamini science eeeh..
safi kabisaa.. Mnapendwa sana nyie shida mnashindwa mambo madogo madogo tyuuuu
Who knows , God has a plan for everyone . na anatuwazia mema sisi watoto wake.π π π hakuna mahala nime judge.. Mungu anategemea watu kupata wenza katika ujana, ili wazee walee.. na sio uzeeni..