Sahihi ,kabisa sema sasa najiuliza nitatoka na wangapi had nipate atakayenioa ? Bora nistick na huyo ilimradi ananipenda na kunijaliHayanaga mwongozo na hakuna fomyula mjukuu. Ndo maana akina Shilole wanaolewa kila leo na kuna wengine hakuna kitu....maisha yako hivyo. Kila mtu na safari yake ndiyo maana tunashauriwa sana kutoiga mambo ya wengine au kujilinganisha nao!
Kwa nini mtu akukule for 5+ months halafu hana mwelekeo wo wote na wewe mjukuu? Mpige na hili tukio uone mbivu na mbichi
Babuuu leo unatema madini sanaaaa.Marahaba mjukuu...
Akikataa si ndo unajua kuwa hana malengo na wewe...na unampiga chini!
Hakuna muda wa kupoteza mjukuu
ooh! kumbe mnapenda ndoa, ila mnakaza shingo, jifunzeni kuwa wasikivu na watii kwa me wenu.. Mwabaume anapenda kusikilizwa na mtu alie mtii.. sio mwanamke unamuambia fanya hivi hafanyi , ujuaji mwingi hapo lazima uchezee sana jarambakabisaaa babuu yaan huyu lazimaaa avaee tyuuh atake asitakeee. Asinichezee kabisaaa na navyopenda kuwa official Mrs fulaan, ameyakanyagaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
ooh! kumbe mnapenda ndoa, ila mnakaza shingo, jifunzeni kuwa wasikivu na watii kwa me wenu.. Mwabaume anapenda kusikilizwa na mtu alie mtii.. sio mwanamke unamuambia fanya hivi hafanyi , ujuaji mwingi hapo lazima uchezee sana jaramba
Ndio mjifunze kuwa watiisasa km hataki si aniambie ko. Kunichezea mda mrefu hvyo afu aniache, anamuachia nan? Haiwezekan
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameongea pointi kubwa
Why unakuwa unaponda wadada hivyo ?Ndio mjifunze kuwa watii
Ndio mjifunze kuwa wasikivu
Ndio msiwe waongeaji sana na kujidai wajuaji, jambo mwanaume hajamaliza kuongea ushadakia ..
hapo lazima ukalishwe bench, kila siku utaona huolewi, au huna bahati kumbe unajiroga mwenyewe na tabia zako π π π π π
Achana na wige sophy, hawa jamaa nimegundua wana wivu na sisiπ€£π€£π€£Wapi huko alikofunga breki jamaniπππ
Wapi nimeponda wadada humu ?Why unakuwa unaponda wadada hivyo ?
Ndoa ni kusudi la Mungu lazima tulitii kama watoto wake
π π π nyie ma roli modo wetu, na sie tukipata wapenzi tutaishi kama nyieAchana na wige sophy, hawa jamaa nimegundua wana wivu na sisiπ€£π€£π€£
It clearly shows how una mtazamo mbaya juu ya wadada .Wapi nimeponda wadada humu ?
Mwanamke lazima awe mtii
Mwanamke lazima awe msikivu
Nani kakuambia ndoa ni kusudi la Mungu ?
nyie ma roli modo wetu, na sie tukipata wapenzi tutaishi kama nyie
Nimekuambia nioneshe wapi na mtazamo mmbaya na wadada au wapi nime dhalilisha hata dada mmoja humu ?It clearly shows how una mtazamo mbaya juu ya wadada .
I don't want to talk with you kuhusu Mungu maana najua maada haitoisha leo .
Hayana formulaaa hata ukiwa km malaika km hakupendi n hakupendiNdio mjifunze kuwa watii
Ndio mjifunze kuwa wasikivu
Ndio msiwe waongeaji sana na kujidai wajuaji, jambo mwanaume hajamaliza kuongea ushadakia ..
hapo lazima ukalishwe bench, kila siku utaona huolewi, au huna bahati kumbe unajiroga mwenyewe na tabia zako
Go and read Genesis 1:26-28Wapi nimeponda wadada humu ?
Mwanamke lazima awe mtii
Mwanamke lazima awe msikivu
Nani kakuambia ndoa ni kusudi la Mungu ?
Nahisi hisi dear, naogopaaaa isiwe kweliii.Ameongea pointi kubwa
Hujambo shos
Ushaanza pata metallic taste kwa mdomo
Ko kumbe Ndoa sio kusudi la Mungu?Wapi nimeponda wadada humu ?
Mwanamke lazima awe mtii
Mwanamke lazima awe msikivu
Nani kakuambia ndoa ni kusudi la Mungu ?
hadi mtu analala na wewe anakupenda ni nyie tu viburi π π π
hadi mtu analala na wewe anakupenda ni nyie tu viburi