Selfika na JF: Snap it. Show it

Wacha weee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona humu nimetemwa na watu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kuna mmoja namuangalia kidogo anitoe roho yangu.. mshenzi sana yule mtoto.. ila fresh bado namuelewa lakini alafu anajua namuelewa
 
Kheri ya siku ya kuzaliwa dogo langu[emoji3059],

Allah akujaalie kheri[emoji1545][emoji1545]


Hiyo miaka 20 usijione mkubwa kutuvimbia wakubwa zako humu, mfyuuuuuuuu[emoji855]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada unanionea bhana 20 tenaaaaa, khaaaah
Ongeza mingine tenaaa, ahsanteeeee sanaaaa dada. Na baraka ziwe juu yetu sote.

Ameeeeeen!!! [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi nikajaribu kuangalia nione nani kaanza kukuwishi selfika nikasema ngoja niwe wa kwanza.
Kwani umeona sasa woi…

Nakupenda pia my love waiti
Nakupendraaaaaaaaa piaaa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]

Thanks much. [emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona humu nimetemwa na watu [emoji28][emoji28][emoji28] kuna mmoja namuangalia kidogo anitoe roho yangu.. mshenzi sana yule mtoto.. ila fresh bado namuelewa lakini alafu anajua namuelewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaaa km chiziiiiiiii. Hebu mtajee hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise..mapenzi ni kitu cha kiwaki sana mxiu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…