Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,460
- 95,965
huko ulikokutaja ndo wapi? KipenziMimi na mazoezi ni Magufuli bus terminal na Airport
Haha zipo nyingi aise , nitambadilisha.Kwani salamu zimeisha Mpaka umsalimie shikamooβ¦ππ
Nimeamka vyema sana Sijui wewe
Ni mwendo wa kupuyanga tu hakuna namna NA.Maisha yanatuvuruga sana, hapo ukikutana na wanao nidai na ninao wadai tukiisha wakiana tu dishi linayumba πππ.. nikishapata na ka tusker bariidi mambo yanakuwa juu chini
Naona anakutaka wewe .Kamsapoti kwenye hiyo tizi sasa we nae
Mjeda hongera sanamambo vp chief
location ni east afrrica,nearly by hindi oceanAise hata mimiβ¦location inasoma nchi gani ππ
hahahaha,wote hamtaki mazoezi nyieNaona anakutaka wewe .
Nenda anakusubiri
Ni nchi ya ahadihuko ulikokutaja ndo wapi? Kipenzi
Ooh vizuri rafikinafanya na veterans muda bd
MuhimuHaha zipo nyingi aise , nitambadilisha.
Namshukuru Mungu kwa kweli .
hahahaha,ushanipotezaNi nchi ya ahadi
Mie utaniacha njianihahahaha,wote hamtaki mazoezi nyie
Hapa ni fresh sasalocation ni east afrrica,nearly by hindi ocean
karibuOoh vizuri rafiki
πππhahahaha,wote hamtaki mazoezi nyie
Mie bado siamini hata kidg, una tuenjoy wee.Hahahaha nishamove on muda sasa, nawaza mengine .
Wanaume wote hawa japo tunawazidi idadi lol
Asante rafikikaribu
Kabisaaaaa yaan huonekani.Hahahaha sionekani wa kuonjwa eeeh .....