Unadanganya huna akili na macho ya kuona ? na kama unadangnywa maana yake unatamaa .. kudanganywa ni kama mtego .. sasa unawekewa mtego unanasa maana yake hukutumia akili vizuri kama.. na wengine hawadanganywi mtu anaweza kuwa na nia njema ila ukikaa na mtu ujue unaonamuona kama mchele au pumba .. unajikuta hapo mbeleni tutachoma moto.. kwanini msiachane au usiache .. kuachwa kupo tu, nina list ndefu sana ya walio niacha asee na sio kwamba waliniacha kwa mabaya au tuliachana kwa ubaya.. ila nikaja jifunza kitu ( mapenzi kudumu inatakona na ainda ya scarifier -) hadhina yako ilipo ndio moyo wako ulipo.. kama hakuna exchange kati ya wote na ukiona halipo hilo kati yenu jua hamdumu hata uroge