Selfika na JF: Snap it. Show it

Endelea kukaza mwanangu 😂😂
 

Ndiyo maana nilisema wengi sio wote. I didn't generalise. There is always an exception.

Plus amerudi na nini haswa cha kukufanya uone kweli huyu mtu amejifunza kitu huko nje na anamaanisha kweli? Sio mbambamba zilezile za zamani afu anajifanya ooh wewe ndiyo mke wangu, nimerudi. Maana na sisi ukiitwa tu "mke wangu" unajiona tayari mbele za baba Paroko. Utalia tena kama Kajala
 
Eti akiiva!
Akwende

Huo upumbavu sifanyi maishani.
Ukiniacha usijisumbue kwa Chochote,unanijulia hali ili ikusaidie nini?
Upumbavu tu

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hapo unawaambia nini hawa wadogo.. maana hayana formula .. isipokuwa kuna ishara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…