mambo marahisi haya huitaji tumia energy , ukiwekeza uwekezaji hakuna mwanaume atakupiga chini , hivyo hivyo mwanaume akiwekeza kwe ke hawezi piga chini kirahisi.. sasa unawezekeza maneno tu na mda kuna mwingine anawekeza ufundi, hela, mapenzi na time mnafikiri mtu atabaki salama hapo ? mapenzi ni sadaka uzito wa sadaka yako utaamua unaachwa au huachiki