Sasa mtu anasema alikuacha si aachane nawewe mazima Kwanini anakusumbua sumbuaa ??? Mtu anaonesha kujutia kabisa ilhali ishapita miaka kibao all these years wee umekaa tyu kwa ubaya ganii?? Kuna watu ni hawajielewi!
Afu mtu yeye ndio anakusumbua anenda kugeuza kibao etu wewe ndie unamsumbuaa khaaahh ni upuuzi!
Kuendekeza njaa ndio kunatufanya baadhi yetu tunagongwa kweri kweri!! Binafsi Nimekoma Mbona bora nipambane nahali yangu ila sio kudhalilishwa aiseeehhh!!π€£π€£π€£!!