Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa kama ali date mbwa

Ulitegemea Nini

Muwe mna date na binadamu wenzenu

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
katepeli pro max hako πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kasikuingize kingi... ukikasikia hivi maskini unaweza patwa na huruma ghafla hadi utokwe chozi.. ukishakaelewa ndio utajua unadeal na Iddi amini dada
πŸ˜‚πŸ˜‚ ndo maana uliniacha kwenye mataa juzi
Karma is bitch
Subiri utaona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mpole? Wasio kujua ee

Nakula na hamna kitu mtanifanya
Me mpole sana, na sinaga maneno wala fujo na kiumbe chochote 🀣🀣🀣

Tutakufata na ungo usiku
 
Point kubwa umewekeza nini ndani ya huo mda .Kuna wapenzi wana miaka lakini hakuna uwekezaji zaidi ya kupotezeana mda.. hata Mungu anatuhuku kutokana na uwekezaji wake ila asingefanya uwekezaji asingekuwa na haki ya kutuhukumu
Ukiona mtu ameaumia ujue aliwekeza.
Cha kwanza kabla ya vyote ni muda.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Ukute walivuka hiyo miezi 7

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Pia mda unaweza kuwa mrefu na umewekeza ila je ni mtu wako ali kusudiwa kuna mahala tunawekeza tukihisi sahihi ila kumbe sio.. nilishawekeza mahala na kulipa ada juu na kwao walikuwa wananijua na nikaachwa nikaanza kulaani wapi, mtoto wa watu aliolewa na mtu mwenye hadhi ya juu , dua zote zilipiha mwamba 🀣🀣🀣🀣🀣 na sasa hivi wanaishi vizuri na siku ya harusi yangu walikuja na Mr wake .. watu tunakimbilia kuumia bila kuangalia upande mwingine na kupata tafsiri , unaweza ukawa unaachwa kwasababu una matatizo ambayo hujaona kuwa ni matatizo na unaweza kuachwa kwasababu Mungu hataki uolewe na huyo mtu na unaweza achwa unalogwaa kama Depal 🀣🀣🀣 case zipo nyingi.. nililipa ada miaka mitatu ila chari na laana zangu hazikufanya kazi πŸ€£πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…