Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Ingekuwa zamani ni kama Sasa ningekutolea Cheti changu Cha kuzaliwa, hapa nina alama ya Ndui tu 🤗nafkri hata mama ako hakuwa na wazo la kukutafuta wakat huo, miaka hyo mchezoooo???
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaaam jirani!!Salam kwenu wadau
BLTo yeye ughonilee????
Tena leo sheria ya kuheshimu ndoa za kila aina imetiwa sahihi. Ushindwe mwenyewe tu mjukuu!
Safi kabisa jirani, natumaini hujambo..Salaaam jirani!!
Hebu niitie JD Bhanaaa, sijamalizana nae.
Aisee..Tena leo sheria ya kuheshimu ndoa za kila aina imetiwa sahihi. Ushindwe mwenyewe tu mjukuu!
View attachment 2446572View attachment 2446573
Niko poa sana jirani!!Safi kabisa jirani, natumaini hujambo..
Ubarikiwe sana jirani..Niko poa sana jirani!!
To Yeye atakuwa Uyole au kule kwao Ubaruku.To yeye ughonilee????

Kuwa na adabu kwa Wazee Kijana, unataka tufe na Presha tukiwa kifuani?Zote za humu
Unataka kuzitafuna?
Punguza ulafi
Ukoje wewe kijana ?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Ukifika boda niambieLol nilipita nipo huku Boda naenda Malawi mara moja ntarudi Soon
Amen amen jirani nakwako pia!!Ubarikiwe sana jirani..
Tena leo sheria ya kuheshimu ndoa za kila aina imetiwa sahihi. Ushindwe mwenyewe tu mjukuu!
View attachment 2446572View attachment 2446573

Ingekuwa zamani ni kama Sasa ningekutolea Cheti changu Cha kuzaliwa, hapa nina alama ya Ndui tu![]()







huo mwaka 83 baba angu yuko 4m 6 ndo wee uwe kazini? Hebuuu huko. 🤣🤣Kuwa na adabu kwa Wazee Kijana, unataka tufe na Presha tukiwa kifuani?
Wengine mambo haya tumewaachia Vijana tu