Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,836
- 57,463
Bora enzi zetu sisi miaka Ile ya 70-83's unachagua ofisi ya kufanya kazi, unaenda Shirika la hifadhi ya Chakula, Chuo Kikuu au Ujenzi kupiga kazi.huu mwaka uisheee nipumuee kwa kweli,
Finalist yeaaaah, tunamaliziaaaa maliziaaa tulichokijiaaa.
Mwendo wa kusaga lami na bahasha ya khaki. Uwiiiiih.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka Unaenda Reli au Shirika la Viwango 🤗
Siku hizi Wasomi mmekuwa wengi 🙌

rather than Paka.

