Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,401
- 12,016
Sunny here
"Malawi ya Simiyu"🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!Malawi ya Simiyuuu? Mxxieeeeeewwww!!
Kabla hujavuka, sababaishaaa kwan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mnyama nimeshindwa kumpenda kabisa licha ya upole wao, I see more comfortable with dog 🐕 rather than Paka.
Kwahio za bongo feki?? Unataka mpaka utolewe kizazi ndio akili ikukae sawa!!😁
Wee jitoe ufahamu tyuuh, tar 17 ni b'day yangu, nataka zawadi wee jizime data."Malawi ya Simiyu"!!
Huyo ni first born wangu Mjukuu
Tena nataka muitaliano, nasikia wanatiaaa balaaa, lazima nijionee staki kuskia skia hizo story.Kwahio za bongo feki?? Unataka mpaka utolewe kizazi ndio akili ikukae sawa!!![]()







Kwendaa hukooooooo,Huyo ni first born wangu Mjukuu
Me nimekaa kwa nyuma hapo![]()






Niwe Mimi nitambe 🤗Unaelekea wapi babuu!!??
Simama tuone hiko kitambi babuuu!!
So smart 😍!
Wewe teinaaahh sema kinginee😘🤩!Wee jitoe ufahamu tyuuh, tar 17 ni b'day yangu, nataka zawadi wee jizime data.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio huyo sio wewe babuu? Ebu fanya kuselfika kwani hutaki wajukuu zako tukujue vizuri eeh!?Niwe Mimi nitambe 🤗
Naelekea Kazini Mjukuu
Umeanza lini kutulia wewe?😅
Mwambie aselfike tumuonepo banaa mie nimeona misuli misuli tu hapo kwa mikono!!😁
Ukija likizo ya Christmas huku kijijini utaniona Babu yako, saivi natembelea fimbo 🙈
Umeanza lini kutulia wewe?![]()




nikishampata mzungu wa Harvard natulia, awe muitaliano plz. Mwambie aselfike tumuonepo banaa mie nimeona misuli misuli tu hapo kwa mikono!!![]()





si ameselfika hapo au? Hebuu nikuone one time Shoss akee kitrrambo sana ujue fanya kunibless nikazie hii shibe mie!!
Tatizo cc hatuna likizo ya xmass, kuna li lekchs limesema tar 24 usiku eti pepa mxxxieeeeew.Ukija likizo ya Christmas huku kijijini utaniona Babu yako, saivi natembelea fimbo![]()