Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila kwa kuangalia logic, kuilaza ile chupa kunaipa stability/equilibrium kubwa zaidi kuliko kuisimamisha kutokana na muundo wa chupa yenyewe. Kwahiyo hata meza ikitingishwa / kugongwa chupa haidondoki / kumwagika.

Chupa za bia huwezi kuzilaza kwasababu ya muundo wake wa duara kama pipa. Itabiringita. Na ujazo wake hua sio mkubwa sana kama jibapa so stability sio mbaya sana pia. Ila ukisimamisha jibapa nwenyewe utaona tu risk yake utalishusha
 
Hapana.
Zinalazwa ili kumsaidia yule jamaa alieinua mikono na kutunisha kupumzika. Walevi wanajali sana
 
Ila kwa kuangalia logic, kuilaza ile chupa kunaipa stability/equilibrium kubwa zaidi kuliko kuisimamisha kutokana na muundo wa chupa yenyewe. Kwahiyo hata meza ikitingishwa / kugongwa chupa haidondoki / kumwagika.

Chupa za bia huwezi kuzilaza kwasababu ya muundo wake wa duara kama pipa. Itabiringita. Na ujazo wake hua sio mkubwa sana kama jibapa so stability sio mbaya sana pia. Ila ukisimamisha jibapa nwenyewe utaona tu risk yake utalishusha
Nmekuelewa, thanks
 
IMG_9959.JPG

Nakusanya hela ya supu..🤣🤣🤣
Pombe nimeaachaa
 
Back
Top Bottom