cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,357
- 188,055
Sasa unaniita huko na mchumba anaona jaman, naogopaaa kuchwaa mwenzio, nampenda mchumbaa angu.
Sasa unaniita huko na mchumba anaona jaman, naogopaaa kuchwaa mwenzio, nampenda mchumbaa angu.
Mchumba sikuji hukoo,, unaniacha kisa mm ni mweusi au,, unasahau nimetoka nyasa [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchumbaaaaa sasa nawee unaharibu. Hebu njoo ndani kwan.
Humuwezi[emoji16]
Sijaona naiona Croatia vs ufaransa tenaMabingwa tarajiwa
Mchumba hebu ukuje ndani bhanaaa nawee, mekumic.Mchumba sikuji hukoo,, unaniacha kisa mm ni mweusi au,, unasahau nimetoka nyasa [emoji16]
Nimegoma sikuji,, njoo uniue[emoji16]Mchumba hebu ukuje ndani bhanaaa nawee, mekumic.
Njoo bhanaa mchumbaaa.Nimegoma sikuji,, njoo uniue[emoji16]
Kuna ubwabwa? [emoji16]Njoo bhanaa mchumbaaa.
Upoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna ubwabwa? [emoji16]
cocasticUpoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chap nakujaUpoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee mrembo
Utaishia kula kwa macho kijana 😂😂😂😂😂😂Aisee mrembo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nina pisi moja kali sana matata nimeoza kwakeUtaishia kula kwa macho kijana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ipi hiyo ya humu au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nina pisi moja kali sana matata nimeoza kwake
Abeeeeeeeeh Ngoshaaa.
Fanyaaa ukujeee.Chap nakuja