Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20221209_190536.jpg
 
😂😂Kumbe madam ulishuka Dodoma na hunambii😂 mm nikakusubir Mbezi bila mafanikio😂😂
Antonnia
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😄😄!!!! 🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🤣🤣🤣🤣🤣!

Mwambie Carrasco putin Nimesahau mafuta ya masajiiii anileteee nina uchovu wa kimataifaa🤣🤣🤣🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️!!

Dom nimekuja kulangua ubuyu na zabibuuuu🤣😎😎😎😎
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😄😄!!!! 🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🤣🤣🤣🤣🤣!

Mwambie Carrasco putin Nimesahau mafuta ya masajiiii anileteee nina uchovu wa kimataifaa🤣🤣🤣🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️

Mie sipo na mr vocha hata uwe na amaneee!🤣🤣🤣🤣😎😎!!
Jamaa anateseka sana dear
 
Mkuu kama unaweza kunipigia pande kwa sophy27 wewe fanya tu, nishamwambia mara kibao sema huenda sijaeleweka bado. Naomba tu asije screenshot maongezi yetu manake hii id nitaikana🤣🤣🤣
😀😀😀 Mkuu pambana tu, mie nikisema nakusaidia ndio nitampeperusha kabisa, maana mie humu naonekana wakala wa shetani 🤣🤣🤣 ukisha pigiwa chapua na wakala utapoteza na wewe watakuogopa
 
Sema ERoni na sophy27 mnaendana sana wote mna kitu inaitwa integrity.. Najua sasa hivi mpo pamoja mnatuzuga hapa 😀😀😀 leo unakula lips zile live mwanawane sijui umeisha zila hapa nina imagine tu
 
Back
Top Bottom