Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,184
- 11,279
Pitia iringa mkuu nikuagize kanyama ka mbwaa unipelekee njombeNaelekea kusini mwa nchi
Pitia iringa mkuu nikuagize kanyama ka mbwaa unipelekee njombeNaelekea kusini mwa nchi
Nimefanikiwa kuacha kila kitu sasa hivi 😅😅😅😅 niki maintain hivi kwa mwaka nitakuwa kijana tajiri mwenye busara zake na hekima za kutosha[emoji38][emoji38] Kaka nasikitika kukupa taarifa kua nimerudi Ila kwa masharti maalumu
[emoji38][emoji38] jogging tunawaachia wa kishua,,kijana ulevi wako Ni utelezi wa yolly yollySiku ya uhuru ni kufanya usafi na jogging kijana unapiga vyombo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaaaa usinipange mzee Mimi najua "MADEMU" abadan huwez achaNimefanikiwa kuacha kila kitu sasa hivi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] niki maintain hivi kwa mwaka nitakuwa kijana tajiri mwenye busara zake na hekima za kutosha
😅😅😅😅 Labda miaka kadhaa mbeleni si unajua nalea tumbo lazima nikaushe tu, mtoto asije kurithi vuruguHahahaaaaaa usinipange mzee Mimi najua "MADEMU" abadan huwez acha
Dohooo [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji38][emoji38] jogging tunawaachia wa kishua,,kijana ulevi wako Ni utelezi wa yolly yolly
Hapo sawa saiv kausha usije muudhi mama k[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Labda miaka kadhaa mbeleni si unajua nalea tumbo lazima nikaushe tu, mtoto asije kurithi vurugu
Nilijua tu lazima 😂😂😂Una mke Nani akupikie sasa
😅😅😅 Hamjisemagi nyie sophy27 kaoza kwako na kufa juu, kila kheri kwenye kumfurahishaaa, inatakiwa atoke huko mwepesiii asibakize genye hata nukta sifuriNaona umeamua kunibambikia mkuu, sisi wazee tumeamua kula kwa macho tu😁😁
Mwenye mguu wake[emoji9]
Mdogo na shape lake TZ nzima..
😀😀😀😀 Mnatuzuga tu hapa, kila kheri.. Usituangushe mzeeHapo unanisingizia mkuu, kasema anaenda wapi na mimi niko wapi huku Mbopo😁😁😁😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilijua tu lazima [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilijua tu lazima [emoji23][emoji23][emoji23]
Muhuni anafaidi lile takoo 😂😂Wahuni wanampelekea moto tu sshv Antonnia