National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Shangazi si ungeniambia nikufate na Benz Langu nikupepele popote unapotaka jamani 😊😊😊 why upate shida jamaniNiko safarini Shangaz tangu jana ilanawamiss mno
Shangazi si ungeniambia nikufate na Benz Langu nikupepele popote unapotaka jamani 😊😊😊 why upate shida jamaniNiko safarini Shangaz tangu jana ilanawamiss mno
Shangazi sijawahi kupanda Benz si nitaotq mm😂😂😂Shangazi si ungeniambia nikufate na Benz Langu nikupepele popote unapotaka jamani 😊😊😊 why upate shida jamani
Kaka Gerald kapita naked jf Kuna wakaka mahandsome bhnaalooooong time.....[emoji846][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]View attachment 2440661
Imeniuma sana shangazi mie nipo why upate taabu jamani 😢😢Shangazi sijawahi kupanda Benz si nitaotq mm😂😂😂
Unapiga vyombo mkuu
Ndio mkuu Ni mdau mtiifu na mlipa kodiUnapiga vyombo mkuu
Unaenda wapi shemejiSafari inaendelea View attachment 2440706
Una mke Nani akupikie sasaLa kupika [emoji39][emoji39]
Umempenda kuhamishie nguvu huko kwa shemeji mpyaKaka Gerald kapita naked jf Kuna wakaka mahandsome bhnaa
Siku ya uhuru ni kufanya usafi na jogging kijana unapiga vyombo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahha jamn 😂😂😂mnataka muhamishie makazi huku 😂😂subirini kwanza nitatoa tamkoUmempenda kuhamishie nguvu huko kwa shemeji mpya
Mzee si uliacha lakini 😬😬
Naelekea kusini mwa nchiUnaenda wapi shemeji
Anaenda kwa mzee ERoni maana alishatuma na ya kutolea 😁😁Unaenda wapi shemeji
Sawa wasalimie kawakilishe taifa vizur maana ulikuwa umemicNaelekea kusini mwa nchi
Alooo unajua kuwavuruga watu ww shemeji jamanHahha jamn [emoji23][emoji23][emoji23]mnataka muhamishie makazi huku [emoji23][emoji23]subirini kwanza nitatoa tamko
Mapenzi hayapo fair kwa kwanza kutuma na ya kutolea package nono ndio wa kwanza kuhudumiwaAlooo kwahyo Poker kashapigwa chini
[emoji38][emoji38] Kaka nasikitika kukupa taarifa kua nimerudi Ila kwa masharti maalumuMzee si uliacha lakini [emoji51][emoji51]