Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Ame likekwahy atarudia
Ame likekwahy atarudia
We shindwaa[emoji1787]Baba mchungaji unafaidi
Eti ananilinganisha na nyie watoto wa miaka 25Hivi......
au basi
Imeisha hiyo
doh
Saint anne ndiye mama mchungaji... Wewe hata usipojua andiko ni baba mchungaji...Si bora
Hata ningejua kusoma
Mstari wa neno[emoji849]
Ninachokifahamu ni mathayo 7
Muulize mchumba/mumeoAlfu naitikiaje baada ya hapo
Ww ukizid sana 27
[emoji3059][emoji257]
Mchumba angu mpya au wa zamani?Muulize mchumba/mumeo
Mlevi wa saint annaWe shindwaa[emoji1787]
Huyo Mlevi awe Baba mchungaji kweli!
Na haya mavitenge yangu ya Ileje,hatuendani kabisa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
BothMchumba angu mpya au wa zamani?
Sukari tu zimetuishia hapa.Imeisha hiyo
Kingine Nini[emoji1787][emoji39][emoji848]
SawaBoth
Dah[emoji23][emoji23][emoji23]Ww ukizid sana 27
Umeanza??Mlevi wa saint anna
Unadhani mimi mdogo mwenzenu eeh?Aitoe wapi[emoji848]
23 juzi tu huyo
NikishakuzalishaDah[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwili unawadanganya
Kuna watu wa umri wangu ukiwaona kimuonekano ni mimama Sana.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app