Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Baba mchungaji unafaidiChuchu jua la mchana kabisa
Kiuno kibichi kabisa
Huenda hata kukatika hakijawahi
Utakuja kuniua wewe binti
Baba mchungaji unafaidiChuchu jua la mchana kabisa
Kiuno kibichi kabisa
Huenda hata kukatika hakijawahi
Utakuja kuniua wewe binti
Acha dhambi bhasZawadi usiniletee muda nina ratiba ya ibada.
Si unajua ratiba yangu ya ibada huwa haifi
Au nitamtuma Baba mtumishi aje kuchukua.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
cjaona km vp mwambie arudieDuh
Mjeda si umeona msumari
Ulivyosimama
Hata kama unatokea ileje ndani ndani![]()
Si boraBaba mchungaji unafaidi

Sijambo shikamoo shemeji.Shemeji yangu
Hujambo![]()
We umeenda sana 25, huw sikosei...
Sasa ni usikuSijambo shikamoo shemeji.
Wangaruka
kwahy atarudiaNi msikivu
Halafu anakuheshimu sana
Oooh sawa engw'ashiSasa ni usiku
Hiyo ni ya asubuhi
Nimefurahi kukuona hapa
Lakini kusikia hujambo
Na mimi ni mweupe tu kwenye Biblia,ukitoa Bible Knowledge nilivyosoma ambayo ndo angalau inanibeba beba vifungu vya kuzugia.Si bora
Hata ningejua kusoma
Mstari wa neno
Ninachokifahamu ni mathayo 7
Kuvuka mto
Nibebee sukariAcha dhambi bhas
Yaani ukaniweke kwenye watoto wa 25 kweli?Kuvuka mto
Ng'wagokoOooh sawa engw'ashi
Alfu naitikiaje baada ya hapoNg'wagoko
Hivi......