Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Tabia mbayakitalembwa nimeomba blessings zako ukakimbia mazima!!
[emoji23][emoji23][emoji23] natumia free basicsWe ni mmoja wa wale fans wa selfika... ambao mnapita kimya kimya.
[emoji23][emoji23][emoji23]kitalembwa Tetramelyz nasubiria baraka zenu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz
Nimesuka hivi rafiki TetramelyzTabia mbaya
Za hovyo hovyo
Umeanza lini[emoji848]
Nikuchagulie msuko halafu picha waone wengine
Umeenda kuwaje[emoji848]
Nimekaa hapa nasubiri nikuone
WigelekeloNimesuka hivi rafiki Tetramelyz
Aisee, licha ya picha kuona wengine, hata wanufaikaji ni wengine, sie tubaki kusifu...Tabia mbaya
Za hovyo hovyo
Umeanza lini[emoji848]
Nikuchagulie msuko halafu picha waone wengine
Umeenda kuwaje[emoji848]
Nimekaa hapa nasubiri nikuone
Hatari sanaAisee, licha ya picha kuona wengine, hata wanufaikaji ni wengine, sie tubaki kusifu...
Nyam nyam nyam
Bk mjini 😁😁😁!Ndege unapandia chato au
Bukoba mjini airport[emoji848]
Imeisha hiyoBk mjini [emoji16][emoji16][emoji16]!
Li mjomba lakoBk mjini [emoji16][emoji16][emoji16]!
Nazisubiria best!
Mara paapAiseeee .....ngoja niweke kambi humu nifanye mawindo
Mzabzab ni balaa
IpoIko wapi mbona sioni?
Kama hujawahi ona mapicha yangu yote ninayoweka basi utakuwa na kengeza [emoji38]Saint Anne please, hebu leo nibariki, ujue sijawahi kuona vizuri.. weka vitu