Nimeachana nae..ila hata sikutaka kugombana nae walaa huo muda sinaga.Achana naye,mambo ya kugombana yamepitwa na wakati.
Dawa ya mtu mwenye makwazo ni kuachana naye,ukiweza mlime block.
Baadaye akiona anakukwaza na haujali basi atajiona mjinga.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Huko kwenu kwa Pedeshee Amos MakalaIko sehemu gan?
Wale wa Jana confirmed sioHivi ulisema unakuja kumtolea mahali binti yangu Saint Anne mwezi huu eeh?
Usipokuja kuniomba radhi na zawadi ya koti la Babu hutapata Mke nakueleza
Kawaida ya mtu mgomvi anakutafutia angle ili mgombane.Nimeachana nae..ila hata sikutaka kugombana nae walaa huo muda sinaga.
Ahsante Sana mdogo wangu
Kwamba nimekosa kabisa pa kwenda?Hivi ulisema unakuja kumtolea mahali binti yangu Saint Anne mwezi huu eeh?
Usipokuja kuniomba radhi na zawadi ya koti la Babu hutapata Mke nakueleza
Mama ushauriKawaida ya mtu mgomvi anakutafutia angle ili mgombane.
Ukiingia na wewe basi utakuwa umenasa mtegoni.
Wewe ni mtu poa,sitegemei uanze upuuzi wa kurushiana maneno na watu wanaokutafutia ugomvi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Utaenda ulikoharibiwa
From the Bible perspective Adam had a wife, Abraham had one, Isaac also etc kwanini iwe wewe?Nioe
Nigundue nini
Uwe Babu yangu weweFrom the Bible perspective Adam had a wife, Abraham had one, Isaac also etc kwanini iwe wewe?
Babu yako mwenyewe niko na Bibi yenu miaka 52 Sasa
Kweli Wigelekelo ajifanyie self assessment, haiwezekani posa ikataliwe kabla ya kikao Cha Wazee kuketi 🙆
Najua hilo kuwa msigwa haumpendisimpendiiiii
Kweli Wigelekelo ajifanyie self assessment, haiwezekani posa ikataliwe kabla ya kikao Cha Wazee kuketi
Kitu kimetanukia chini, huko juu ni nyigu dadeq. Antonnia kama Antonnia!
Nadhani Mfalme Daud alipata ajali tu kama inavyoweza kumtokea Mwanaume yeyote kutamani 🙊Uwe Babu yangu wewe
Dunia itaisha saa Tano asubuhi hii
Hivi mfalme daud si ndio alizini na mke wa askari wake
Habari ndiyo hiyo lazima apite njia moja na msigwa kindezi hutoboi,Niliwahi sikia eti mabena hata 30yrs hajafika, mmmh ukute ameingia njia zisizofaa maana hela zina mengi bhana. Lol.
Lete fimbo tumchape, dawa yake ni kuchapwa huyo. Hapa hatugombani..wala kununiana!!Nimeachana nae..ila hata sikutaka kugombana nae walaa huo muda sinaga.
Ahsante Sana mdogo wangu
25/12 MoshiNadhani Mfalme Daud alipata ajali tu kama inavyoweza kumtokea Mwanaume yeyote kutamani
Holiday hii nitakuwa Ziwani huko Kanda ya Ziwa kuendelea na shughuli zangu za Uvuvi. Unaweza kupita kunisalimia Mkuu
Wa vipajiiiiiiiiiiiiiKitu kimetanukia chini, huko juu ni nyigu dadeq. Antonnia kama Antonnia!
Kweliii umekuaaaaaa✌️✌️✌️!Achana naye,mambo ya kugombana yamepitwa na wakati.
Dawa ya mtu mwenye makwazo ni kuachana naye,ukiweza mlime block.
Baadaye akiona anakukwaza na haujali basi atajiona mjinga.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app