Ni vitunguu lakin hawasokoti chini usipopendeza niite mbwa nimekaa palelabda fundi wako awe hajui
Hiz kuna yebozake unasuka bunda Tatu ngoja nimtumie niutafuteAntonnia
Shogaaa huu msuko mzuri sanaa, ila rasta lazima bunda zaidi ya 4, inatakiwa itune zaidi. Pia msusi mwenyewee awe n fundi haswaaah
Niliwahi kumuona dada m1 mwaka jana wa Masters alisuka, wee alipendeza hatareee, afu sijawahi ona mwingine,
Hii nimetoa huko fb, nilivoona ndo nkaichukua haraka, had nmemkumbuka yule dada.
Jaribu na huu afu uone. View attachment 2436435
Mtumie aone pia.Hiz kuna yebozake unasuka bunda Tatu ngoja nimtumie niutafute
Mbona Naona umekaa kimama mama sana au ushamba wangu🤣🤣🤣🤣!! Lol asante niweke mingi nichagueeAntonnia
Shogaaa huu msuko mzuri sanaa, ila rasta lazima bunda zaidi ya 4, inatakiwa itune zaidi. Pia msusi mwenyewee awe n fundi haswaaah
Niliwahi kumuona dada m1 mwaka jana wa Masters alisuka, wee alipendeza hatareee, afu sijawahi ona mwingine,
Hii nimetoa huko fb, nilivoona ndo nkaichukua haraka, had nmemkumbuka yule dada.
Jaribu na huu afu uone. View attachment 2436435
Asante dear nitumie mingi mingi nichagueeHiz kuna yebozake unasuka bunda Tatu ngoja nimtumie niutafute
Huo ndio nilisuka kuvivuta vuta hivi vilivyokatika saivi nataka mwingine
Asante dear nitumie mingi mingi nichaguee
Kapicha nionepo msuko unavokua kipenziiNi vitunguu lakin hawasokoti chini usipopendeza niite mbwa nimekaa pale😀labda fundi wako awe hajui
Huo ndio nilisuka kuvivuta vuta hivi vilivyokatika saivi nataka mwingine
Nikajua pekeyangu nina kengeza.Mbona Naona umekaa kimama mama sana au ushamba wangu!! Lol asante niweke mingi nichaguee
Huo ndio nilisuka kuvivuta vuta hivi vilivyokatika saivi nataka mwingine
Asante dear... Nimeupenda huo wa juu ukichoka hio Staili unaeza badili???
🤣🤣🤣🤣🤭Unataka nianze kuchambuliwa na kuchambwa Anne 🤣🤣🤣😁😁😁😁!!Nikajua pekeyangu nina kengeza.
Zimekaa kibibi, boss ledi wetu bado kijana namba E
Hizo waachie wamama.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Yah unaweza suka yebo kama hivo ukaweka na yebo hapo mbele dear nyuma ikawa hivAsante dear... Nimeupenda huo wa juu ukichoka hio Staili unaeza badili???
UsikubaliUnataka nianze kuchambuliwa na kuchambwa Anne!!
Mie ajuzaaaa li shangaziiii!
Hii staili huwa moja maybe uweke mawimbi Rasta ngoja zilalie pembeni lakn umpate fundi hasaYah unaweza suka yebo kama hivo ukaweka na yebo hapo mbele dear nyuma ikawa hivView attachment 2436457
Kabinti ka 2005Nikajua pekeyangu nina kengeza.
Zimekaa kibibi, boss ledi wetu bado kijana namba E
Hizo waachie wamama.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app