Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weuweeee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kipanga wetu Rey[emoji91][emoji91][emoji7][emoji108]
Tena nilitaka kuuliza
Acha kabisa nilikua class majibu natumiwa na baba Ake(usishangae ndo walivyo)hawalei ila wanafatilia Ili nikianguka afurahie Sasa Mungu kampiga za usooo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Atakomaje mwaka huu
Anakuta binamu uko juu mawinguni [emoji91][emoji108]

Anaenda shule gani?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom