Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
Sishindanii kitu. Nakushangaa ulivo mjinga tuu.Dah sijaelewa unachoshindania
Unataka nitengue kauli ama ni ugomvi unataka au unataka nikuambie nawewe ni mzuri?
Sishindanii kitu. Nakushangaa ulivo mjinga tuu.Dah sijaelewa unachoshindania
Unataka nitengue kauli ama ni ugomvi unataka au unataka nikuambie nawewe ni mzuri?
Nimenenepa baada ya kuzaa.Kasema amenenepa kwamba watu huzaa, pia na weusi wa 2016 sio uleule wa 2019. Binafsi naheshimu utetezi wake![]()
Unitoe huku bush kwakweli na mie nisifiwe!!!!
Wanaume gani wamekubali? Ni wewe peke ako na Rrondo.Mimi bado najiona nipo sawa maana wanaume wamekubaliana namimi ila nyie wanawake wenzie ndio mmekataa.... Kwahiyo ni wivu umewajaa
ingekuwa wanaume wamekataa labda ningeona kiasi fulani sipo sawa
Aseme samahani.?Wote ni wazuri kaka scorpion me mzuri sana lakini haikuwa busara kulinganisha na picha zingine na kuziponda za wengine, haikuwa poa kaka.
Ungeomba tu msamaha yakaisha hapo umechemeka.
😂😂😂😂
Baby unanifahamu hadi naogopa!!
Ndio maana kuna wanene na mwembamba.Kila mtu ana taste yake wasisemee taste za wengine, hicho ndicho wanachanganya eti kipande cha mguu kimefunika pics zote za viwiliwili vya wadada humu,,,, hata wakisema naona wivu ila hapana nimekataa
Wanaume gani wamekubali? Ni wewe peke ako na Rrondo.
Usiwajumuishe wengine, kuna Mkokaa hapa anapenda chata nyeusi sana 😂
Ila kaka umeyumba, we hujamsifia ila umelinganisha mguu na viwili wili ya watu kweli? Ni heri hata ungesema katika picha zote zilizotumwa nimevutiwa na hii.
Wamekubaliana na wewe kwamba hiyo miguu ni bora kuliko picha zote kwenye huu Uzi.?Mimi bado najiona nipo sawa maana wanaume wamekubaliana namimi ila nyie wanawake wenzie ndio mmekataa.... Kwahiyo ni wivu umewajaa
ingekuwa wanaume wamekataa labda ningeona kiasi fulani sipo sawa
Nitakujia usiku wa manane 😂Natamani unitishe leo usiku![]()
. Mshana Jr. hii post yako sijui kwanini naipenda kila muda nikiingia jf siachi kuipitia



uko wapi? Niko kijiweni hapaMzee baba huo ukucha vp
Hivi viatu vyote umevaa leo?
We kaka nimekuuliza kule juu kuna shindano gani? Ukasema hamna shindano saiv umekiri kutuweka kwenye mashindano!!! Haya mheshimiwa jaji




Nimeshindwa nipo busy nimebanana ila nilitamani tuonane tubadilishane mawazoKaka nipo maeneo