amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Mimi nimeshakujua sasa tunaanzia tulipoishia kipindi kile au tunaanza upya? Ila punguza mikwara aisee
Nakupenda
Nakupenda
Kitambulisho chenyewe cha mpiga kura hauna nani atahangaika na weweKuna vitu vingine havina maana kabisa. Yan mtu uangaike na geo location plus picha ilipigwa saq ngap. Labda intelligence ya siasa..
Sisi tunaoshida mmu chictchat na cerebrite hatuna wasiwasi hata tukijulikana.



I miss u girllll.......
Wao waendelee kumjadili sijui intelligensia ye anaendelea kung’oa wabebs...
waooooo fanya basi na sisi tuonane au wewe sio toto moja matataWooiiii nyie hangaikeni lakini mwenzenu ndo katoka kuonana na toto moja matata la jf, poleni wanaume.
Kitambulisho chenyewe cha mpiga kura hauna nani atahangaika na wewe![]()
waooooo fanya basi na sisi tuonane au wewe sio toto moja matata
Yaani wewe ulipoteaga mpaka whatsapp
Mtu mwenyewe hadi dp unaweka sura yako jina la humu ndo jina la instagram na facebook.
Maisha mafupi haya
Nilibadili number nadhani ndio tumepoteana... Maisha