Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
Halafu unakuta mtu wa namna hiyo ameenda shuleHilo ndo la msingi potezea tu.
Na hii ndo shida ya watz wengi mtandaoni hawawezi sifia kitu mpaka walinganishe na kuunda teams hawawezi msifia Ali kiba mpaka wamlinganishe na mwanamusic mwingine.


.Kusifia kitu sio lazima ukishushe kitu kingine.



