Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Dec 2, 2022 #293,841 Antonnia said: Kabisa dear furaha ya nafsiii..sasa upo na mtu Unaona kabisaaa... hakufurahiii...! Yaniniii kufa kwa preshaa!! Click to expand... ni kuachana naye huyo unapoteza muda tu hapo , ukibaki naye
Antonnia said: Kabisa dear furaha ya nafsiii..sasa upo na mtu Unaona kabisaaa... hakufurahiii...! Yaniniii kufa kwa preshaa!! Click to expand... ni kuachana naye huyo unapoteza muda tu hapo , ukibaki naye
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Dec 2, 2022 #293,842 mbalizi1 said: Fundi yyt mzuri haijawahi tokea akajisifu Click to expand... Kweli tena wakuwekana filter zinatusevu mnooooo!!
mbalizi1 said: Fundi yyt mzuri haijawahi tokea akajisifu Click to expand... Kweli tena wakuwekana filter zinatusevu mnooooo!!
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Dec 2, 2022 #293,843 Joan S said: Hahaha kama ndo unatembea. Watakutazama mwanzo wa uchochoro mpk mwsho wa uchochoro. Click to expand... hahah nawakata jicho la hatari
Joan S said: Hahaha kama ndo unatembea. Watakutazama mwanzo wa uchochoro mpk mwsho wa uchochoro. Click to expand... hahah nawakata jicho la hatari
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Dec 2, 2022 #293,844 Tinsley said: ni kuachana naye huyo unapoteza muda tu hapo , ukibaki naye Click to expand... Kwanza unakua umempunguzia dhambi ya kukuacha bila kukwambia mpaka ukajiongeza mwenyewe π€£π€£π€£π€£π€£!!
Tinsley said: ni kuachana naye huyo unapoteza muda tu hapo , ukibaki naye Click to expand... Kwanza unakua umempunguzia dhambi ya kukuacha bila kukwambia mpaka ukajiongeza mwenyewe π€£π€£π€£π€£π€£!!
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Dec 2, 2022 #293,845 Lenie said: Weee inauma sana Ni mwendo wa kimya kimya tu Click to expand... Kupiga kimya tu.
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Dec 2, 2022 #293,846 Antonnia said: Kwanza unakua umempunguzia dhambi ya kukuacha bila kukwambia mpaka ukajiongeza mwenyewe !! Click to expand... kwanini umchoshe ss
Antonnia said: Kwanza unakua umempunguzia dhambi ya kukuacha bila kukwambia mpaka ukajiongeza mwenyewe !! Click to expand... kwanini umchoshe ss
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Dec 2, 2022 #293,847 Lenie said: Na me nitaanza kuvaa short, sitajali vigimbi Click to expand... Yani unajali kigimbi?. Anza kuvaa ndiyo utaona jins unapendeza. Kama unapenda kuvaa short, vaa tu. Usianze kumuwazia mtu dada.
Lenie said: Na me nitaanza kuvaa short, sitajali vigimbi Click to expand... Yani unajali kigimbi?. Anza kuvaa ndiyo utaona jins unapendeza. Kama unapenda kuvaa short, vaa tu. Usianze kumuwazia mtu dada.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Dec 2, 2022 #293,848 Antonnia said: Kwanza unakua umempunguzia dhambi ya kukuacha bila kukwambia mpaka ukajiongeza mwenyewe π€£π€£π€£π€£π€£!! Click to expand... Yeah bora ungatuke mapema akija kushtuka kumekucha π
Antonnia said: Kwanza unakua umempunguzia dhambi ya kukuacha bila kukwambia mpaka ukajiongeza mwenyewe π€£π€£π€£π€£π€£!! Click to expand... Yeah bora ungatuke mapema akija kushtuka kumekucha π
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Dec 2, 2022 #293,849 Tinsley said: Amen sema ukipata mtu unasahau kabisa maumivu yote .Mungu huponya mioyo yetu. Click to expand... Ofcoz dear mungu ni mwema na hachelewi wala hawahi bali anakuja kwa wakati...π!
Tinsley said: Amen sema ukipata mtu unasahau kabisa maumivu yote .Mungu huponya mioyo yetu. Click to expand... Ofcoz dear mungu ni mwema na hachelewi wala hawahi bali anakuja kwa wakati...π!
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 20,001 Reaction score 48,527 Dec 2, 2022 #293,850 National Anthem said: View attachment 2433470 C.c Darlin π π C.c sophy27 ijumaa kareem Click to expand... Mashallah nawe pia aunt
National Anthem said: View attachment 2433470 C.c Darlin π π C.c sophy27 ijumaa kareem Click to expand... Mashallah nawe pia aunt
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Dec 2, 2022 #293,851 Wigelekelo said: 21 Click to expand... 11
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Dec 2, 2022 #293,852 Joan S said: Yani unajali kigimbi?. Anza kuvaa ndiyo utaona jins unapendeza. Kama unapenda kuvaa short, vaa tu. Usianze kumuwazia mtu dada. Click to expand... Na kweli, raha jipe mwenyewe
Joan S said: Yani unajali kigimbi?. Anza kuvaa ndiyo utaona jins unapendeza. Kama unapenda kuvaa short, vaa tu. Usianze kumuwazia mtu dada. Click to expand... Na kweli, raha jipe mwenyewe
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Dec 2, 2022 #293,853 Joan S said: Yani unajali kigimbi?. Anza kuvaa ndiyo utaona jins unapendeza. Kama unapenda kuvaa short, vaa tu. Usianze kumuwazia mtu dada. Click to expand... Hauna picha una ka short hapo nisuuzepo macho dear?π€π!!
Joan S said: Yani unajali kigimbi?. Anza kuvaa ndiyo utaona jins unapendeza. Kama unapenda kuvaa short, vaa tu. Usianze kumuwazia mtu dada. Click to expand... Hauna picha una ka short hapo nisuuzepo macho dear?π€π!!
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Dec 2, 2022 #293,854 Tinsley said: Yeah bora ungatuke mapema akija kushtuka kumekucha Click to expand... Ehee mnakua mmeachana kimya kimya. Bila malumbano yoyote Yale
Tinsley said: Yeah bora ungatuke mapema akija kushtuka kumekucha Click to expand... Ehee mnakua mmeachana kimya kimya. Bila malumbano yoyote Yale
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Dec 2, 2022 #293,855 Antonnia said: Hauna picha una ka short hapo dear nisuuzepo macho !! Click to expand... Mie huwa sipendi kuvaa short. Japo nna mguu mzuri tu.
Antonnia said: Hauna picha una ka short hapo dear nisuuzepo macho !! Click to expand... Mie huwa sipendi kuvaa short. Japo nna mguu mzuri tu.
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,283 Dec 2, 2022 #293,856 Lenie said: Utatolewa mfano kila kona Watu wanapenda kufatiliana maisha sana Click to expand... Tusikufatilie we nani banaaaa
Lenie said: Utatolewa mfano kila kona Watu wanapenda kufatiliana maisha sana Click to expand... Tusikufatilie we nani banaaaa
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Dec 2, 2022 #293,857 Joan S said: Kupiga kimya tu. Click to expand... Wee kimya yee nae kimya ivoivo yani!!
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Dec 2, 2022 #293,858 Lenie said: Na me nitaanza kuvaa short, sitajali vigimbi Click to expand... Wewe ni mzuri bhana Vile vikaptula vyako Vinakutoa kweli I wish usingekuwa blood cc*
Lenie said: Na me nitaanza kuvaa short, sitajali vigimbi Click to expand... Wewe ni mzuri bhana Vile vikaptula vyako Vinakutoa kweli I wish usingekuwa blood cc*
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Dec 2, 2022 #293,859 Joan S said: Ehee mnakua mmeachana kimya kimya. Bila malumbano yoyote Yale Click to expand... kiutu uzima yani no makelele .
Joan S said: Ehee mnakua mmeachana kimya kimya. Bila malumbano yoyote Yale Click to expand... kiutu uzima yani no makelele .
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Dec 2, 2022 #293,860 Joan S said: Mie huwa sipendi kuvaa short. Japo nna mguu mzuri tu. Click to expand... Nakuelewa vizuri mamaa una guu moja matraaatraaaaa sanaaaa!! Ungelivalia short hilo awwwwwππππ!! Nougaaa sana
Joan S said: Mie huwa sipendi kuvaa short. Japo nna mguu mzuri tu. Click to expand... Nakuelewa vizuri mamaa una guu moja matraaatraaaaa sanaaaa!! Ungelivalia short hilo awwwwwππππ!! Nougaaa sana