Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Dec 2, 2022 #293,821 Wigelekelo said: Nimekumbuka Tuna miadi.. Click to expand... Uko sehemu gani sasa. Mbona sikuoni?
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Dec 2, 2022 #293,822 Joan S said: Ukiwa kipipa hiyo ni noma zaidi. Ukishindwa kutembea, Hadi njiani watatusema. Wabongo sisi ni hatuna jema Click to expand... yani waja sio poa wakikuona tu hawaishiwi maneno mmhh umezaa kwani 🤣🤣🤣 ukisema bado , wanabaki mmh .
Joan S said: Ukiwa kipipa hiyo ni noma zaidi. Ukishindwa kutembea, Hadi njiani watatusema. Wabongo sisi ni hatuna jema Click to expand... yani waja sio poa wakikuona tu hawaishiwi maneno mmhh umezaa kwani 🤣🤣🤣 ukisema bado , wanabaki mmh .
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Dec 2, 2022 #293,823 Tinsley said: mie navaa hiyo hiyo , Nikiwa na kitambi mtu anahisi mie mama K. Click to expand... Mie huwa sipendi kuvaa blauzi za kubana sanaaa
Tinsley said: mie navaa hiyo hiyo , Nikiwa na kitambi mtu anahisi mie mama K. Click to expand... Mie huwa sipendi kuvaa blauzi za kubana sanaaa
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,327 Dec 2, 2022 #293,824 Tinsley said: well said furaha ni muhimu kuliko chochote Click to expand... Kabisa dear furaha ya nafsiii..sasa upo na mtu Unaona kabisaaa... hakufurahiii...! Yaniniii kufa kwa preshaa!!
Tinsley said: well said furaha ni muhimu kuliko chochote Click to expand... Kabisa dear furaha ya nafsiii..sasa upo na mtu Unaona kabisaaa... hakufurahiii...! Yaniniii kufa kwa preshaa!!
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,327 Dec 2, 2022 #293,825 Joan S said: Mie huwa sipendi kuvaa blauzi za kubana sanaaa Click to expand... Ukiwa na kitambi kuvaa ya kubana noumaaa sanaa inakuchorajee!!
Joan S said: Mie huwa sipendi kuvaa blauzi za kubana sanaaa Click to expand... Ukiwa na kitambi kuvaa ya kubana noumaaa sanaa inakuchorajee!!
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Dec 2, 2022 #293,826 Antonnia said: Ukiwa na kitambi kuvaa ya kubana noumaaa sanaa inakuchorajee!! Click to expand... Ndiyo inachora. Ukishiba ndo kabisaa
Antonnia said: Ukiwa na kitambi kuvaa ya kubana noumaaa sanaa inakuchorajee!! Click to expand... Ndiyo inachora. Ukishiba ndo kabisaa
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Dec 2, 2022 #293,827 Antonnia said: Ukiwa na kitambi kuvaa ya kubana noumaaa sanaa inakuchorajee!! Click to expand... Inachora Nini
Antonnia said: Ukiwa na kitambi kuvaa ya kubana noumaaa sanaa inakuchorajee!! Click to expand... Inachora Nini
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Dec 2, 2022 #293,828 Wigelekelo said: Wasi wasi wenu tu dadake Yule love bonge wa juakali Mbona yupo fresh tu Click to expand... Na anajiamini balaa, nampenda
Wigelekelo said: Wasi wasi wenu tu dadake Yule love bonge wa juakali Mbona yupo fresh tu Click to expand... Na anajiamini balaa, nampenda
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Dec 2, 2022 #293,829 Antonnia said: Kabisa dear furaha ya nafsiii..sasa upo na mtu Unaona kabisaaa... hakufurahiii...! Yaniniii kufa kwa preshaa!! Click to expand... Unamuacha tu, Tena kimya kimya. Akija kugundua kuwa ameachwa sio Leo
Antonnia said: Kabisa dear furaha ya nafsiii..sasa upo na mtu Unaona kabisaaa... hakufurahiii...! Yaniniii kufa kwa preshaa!! Click to expand... Unamuacha tu, Tena kimya kimya. Akija kugundua kuwa ameachwa sio Leo
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,327 Dec 2, 2022 #293,830 Joan S said: Unamuacha tu, Tena kimya kimya. Akija kugundua kuwa ameachwa sio Leo Click to expand... Lol ukute ulikua ushaachwa wewe kitambooo🤣🤣🤣🤣! Mapenzi Nyokoo sana🤣!
Joan S said: Unamuacha tu, Tena kimya kimya. Akija kugundua kuwa ameachwa sio Leo Click to expand... Lol ukute ulikua ushaachwa wewe kitambooo🤣🤣🤣🤣! Mapenzi Nyokoo sana🤣!
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Dec 2, 2022 #293,831 Tinsley said: yani waja sio poa wakikuona tu hawaishiwi maneno mmhh umezaa kwani ukisema bado , wanabaki mmh . Click to expand... Hahaha kama ndo unatembea. Watakutazama mwanzo wa uchochoro mpk mwsho wa uchochoro.
Tinsley said: yani waja sio poa wakikuona tu hawaishiwi maneno mmhh umezaa kwani ukisema bado , wanabaki mmh . Click to expand... Hahaha kama ndo unatembea. Watakutazama mwanzo wa uchochoro mpk mwsho wa uchochoro.
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Dec 2, 2022 #293,832 Antonnia said: Lol ukute ulikua ushaachwa wewe bila kujua🤣🤣🤣🤣! Mapenzi Nyokoo sana🤣! Click to expand... Ulipanga kumsapraizi unajikuta unajisapraiz mwenyewe nyieeeee 🤣🤣🤣
Antonnia said: Lol ukute ulikua ushaachwa wewe bila kujua🤣🤣🤣🤣! Mapenzi Nyokoo sana🤣! Click to expand... Ulipanga kumsapraizi unajikuta unajisapraiz mwenyewe nyieeeee 🤣🤣🤣
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Dec 2, 2022 #293,833 Antonnia said: Lol ukute ulikua ushaachwa wewe kitambooo! Mapenzi Nyokoo sana! Click to expand... iyo ipoooo. Mapenzi konyo. Tupo mawindoni
Antonnia said: Lol ukute ulikua ushaachwa wewe kitambooo! Mapenzi Nyokoo sana! Click to expand... iyo ipoooo. Mapenzi konyo. Tupo mawindoni
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Dec 2, 2022 #293,834 Lenie said: Na anajiamini balaa, nampenda Click to expand... Umeona eeh Hayo ndio maisha Sasa Halafu jimwili lile anavaa short
Lenie said: Na anajiamini balaa, nampenda Click to expand... Umeona eeh Hayo ndio maisha Sasa Halafu jimwili lile anavaa short
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,327 Dec 2, 2022 #293,835 Hadi February hukooo kama nitakua bado nimepungua! Depal said: Kavae Click to expand...
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Dec 2, 2022 #293,836 Lenie said: Utatolewa mfano kila kona Watu wanapenda kufatiliana maisha sana Click to expand... binadamu ndo walivyo wengine wakiona umenenepa wanoana wivu
Lenie said: Utatolewa mfano kila kona Watu wanapenda kufatiliana maisha sana Click to expand... binadamu ndo walivyo wengine wakiona umenenepa wanoana wivu
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,955 Reaction score 43,393 Dec 2, 2022 #293,837 Antonnia said: Hapo Inapendeza sana weeee usiamini ni Kamera tu mkuu na filter ! Click to expand... Fundi yyt mzuri haijawahi tokea akajisifu
Antonnia said: Hapo Inapendeza sana weeee usiamini ni Kamera tu mkuu na filter ! Click to expand... Fundi yyt mzuri haijawahi tokea akajisifu
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Dec 2, 2022 #293,838 Lenie said: Ulipanga kumsapraizi unajikuta unajisapraiz mwenyewe nyieeeee Click to expand... Nyie nyieeee. Lkn ni Bora umuache kimya. Kuliko kumwambia sikutaki. Kumbe uliachwa zamaniiiii. Unashangaa unasema sikutaki. Halafu mwenzio anakujibu "ok". Hakutafutiiiiiii kwa bembelezo
Lenie said: Ulipanga kumsapraizi unajikuta unajisapraiz mwenyewe nyieeeee Click to expand... Nyie nyieeee. Lkn ni Bora umuache kimya. Kuliko kumwambia sikutaki. Kumbe uliachwa zamaniiiii. Unashangaa unasema sikutaki. Halafu mwenzio anakujibu "ok". Hakutafutiiiiiii kwa bembelezo
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Dec 2, 2022 #293,839 Wigelekelo said: Umeona eeh Hayo ndio maisha Sasa Halafu jimwili lile anavaa short Click to expand... Na me nitaanza kuvaa short, sitajali vigimbi
Wigelekelo said: Umeona eeh Hayo ndio maisha Sasa Halafu jimwili lile anavaa short Click to expand... Na me nitaanza kuvaa short, sitajali vigimbi
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Dec 2, 2022 #293,840 Joan S said: Nyie nyieeee. Lkn ni Bora umuache kimya. Kuliko kumwambia sikutaki. Kumbe uliachwa zamaniiiii. Unashangaa unasema sikutaki. Halafu mwenzio anakujibu "ok". Hakutafutiiiiiii kwa bembelezo Click to expand... Weee inauma sana Ni mwendo wa kimya kimya tu
Joan S said: Nyie nyieeee. Lkn ni Bora umuache kimya. Kuliko kumwambia sikutaki. Kumbe uliachwa zamaniiiii. Unashangaa unasema sikutaki. Halafu mwenzio anakujibu "ok". Hakutafutiiiiiii kwa bembelezo Click to expand... Weee inauma sana Ni mwendo wa kimya kimya tu