Ndiooo ndiiioooooooooooo!! Nakuelewa sana mamaa!! Habare za weyee!!kipipa Tena?. Tuwe wanene lkn tusizd. Tumaintain
Hahahah akisema hivyo. Kimbia kwa Kasi ya 4g. Hakupendi. Mwambie akatafute viportable mbona wengi sana?. Kwa maana ukitaka kuanza kumridhisha yeye, maisha yako yote utakuwa unafanya hiyo kazi tu.Hapo mtu atakwambia uchague kati yake yeye na kitambi chako aah kitambi forevaaa
Sasa hiviHebu toka zako uko usinisingizie mtoto wawatu
12Sasa hivi
Unatimiza 24 eeh
NimekumbukaHahahah akisema hivyo. Kimbia kwa Kasi ya 4g. Hakupendi. Mwambie akatafute viportable mbona wengi sana?. Kwa maana ukitaka kuanza kumridhisha yeye, maisha yako yote utakuwa unafanya hiyo kazi tu.
Kuna nyakati mbalimbali unaweza ukanenepa kitambi Tena. Mfano, baada ya kujifungua, au umeridhika na maisha, kitambi kitarudi. Ss cjui utaanza tumia madawa Tena ili kukipunguza ili uzd kupendwa au vipi.
Na njia sahihi ya kupunguza kitambi ni kuangalia muenendo wa mlo wako na mazoez basi. Tena ufanye kwa kupenda na si sbb ya mtu ili akupende. Maisha yote mtu unaweza kuwa mtumwa aisee
hahaha 🤣🤣🤣Lakini unapungua ili iweje?
Kwani kuwa bonge mtu unaumwa kichwa?
Hamna kupungua, tule hadi tuwe vipipa tushindwe kutembea wawe wanatubingilisha tu chini tunabingilika kwa raha zetuuu
Hahaha zangu nzuriiii mama la mama. Miching yuuuuNdiooo ndiiioooooooooooo!! Nakuelewa sana mamaa!! Habare za weyee!!
Kuna zenye hazivumiliki Wigeee too much of anything is harmful!!Tabia zinavumilika
Ndioo😍👏👏👏Hahahah akisema hivyo. Kimbia kwa Kasi ya 4g. Hakupendi. Mwambie akatafute viportable mbona wengi sana?. Kwa maana ukitaka kuanza kumridhisha yeye, maisha yako yote utakuwa unafanya hiyo kazi tu.
Kuna nyakati mbalimbali unaweza ukanenepa kitambi Tena. Mfano, baada ya kujifungua, au umeridhika na maisha, kitambi kitarudi. Ss cjui utaanza tumia madawa Tena ili kukipunguza ili uzd kupendwa au vipi.
Na njia sahihi ya kupunguza kitambi ni kuangalia muenendo wa mlo wako na mazoez basi. Tena ufanye kwa kupenda na si sbb ya mtu ili akupende. Maisha yote mtu unaweza kuwa mtumwa aisee
Ukiwa kipipa hiyo ni noma zaidi. Ukishindwa kutembea, Hadi njiani watatusema. Wabongo sisi ni hatuna jemahahaha
mweh watatusema hao
wabongo wakikuona wanene hawaelewi .
sijui wana nini.
Utatolewa mfano kila konahahaha 🤣🤣🤣
mweh watatusema hao
wabongo wakikuona wanene hawaelewi .
sijui wana nini.
Hapo fureshhh kipenzi tunapiga soga tu kusogeza masaa dear warmly welcome 😘!Hahaha zangu nzuriiii mama la mama. Miching yuuuu. Leo nimekumbana na barikio lako la mchana. Nimefurahijeeee
Kuna tabia hazivumiliki. Tena hazivumiliki.Kuna zenye hazivumiliki Wigeee too much of anything is harmful!!
Kabisaaaaaaa.... maisha ndio hayahayaaa mamaa!!Eeh naye atajipatia tulizo la moyo wake atafarijika
Kabisa. AthanteeHapo fureshhh kipenzi tunapiga soga tu kusogeza masaa dear warmly welcome!
Wasi wasi wenu tu dadakeUtatolewa mfano kila kona
Watu wanapenda kufatiliana maisha sana