Hiyo statement ya mwisho😍😍Mnaniuaaa mbavu hukuuuu🤣🤣🤣🤣🤣!!
Na uvumilivu piaaaaa...umenipenda vumilia mapungufu yangu nielekeze unishepu kuwa mwanamke unayemtakaaaa kuwa mwanamke wako mwema!!!!!!!
T leo umekula nini kwani 🤣🤣🤣!!!Tusijichoshe yani 🤣 P
wanawake warembo kweli wanaachwa ...
Asante kakake😊Kabisa
Haijapungua hata moja
Sana zipo za kuongezeka
Kama mie asubuhi unaweza jihisi unepungua . nikijiangalia kwa kioo ndo kabisa
Yeah nyingi uongo aiseeHizo dawa naonaga nyingi usanii
Njia nzuri ya kupunguza kitambi ni mazoezi na mpangilio wa msosi, hii niliwahi fanya enzi za ujana na iliwork vema.
Ila sasa nimegundua hayo yote ni ubatili mtupu
KavaeHadi niivae tena sasa 😁 !!
Wewe una mapungufu ganiMnaniuaaa mbavu hukuuuu!!
Na uvumilivu piaaaaa...umenipenda vumilia mapungufu yangu nielekeze unishepu kuwa mwanamke unayemtakaaaa kuwa mwanamke wako mwema!!!!!!!
Kabisaaaaaaa ...hapo tunaongelea inner character ambazo ngumu kuziona kwa picha wala kwa selfii..... hadi uishi na mtu ndio utabaki kuduwaaaa naroho yako Hivi ni wew 😳😳😳 😳😳 Alooooooohh!!! Maisha ni zaidi ya shepu ni zaidi ya sura ni zaidi ya dimples ni zaidi ya sex.... so many things🤣🤣😛!Hiyo statement ya mwisho😍😍
Na kuwa mke mwema havihusiani kabisa na gushepu wala flat tummy😂😂
Kabisa uvumilivu muhimu. Sio umenikuta na kitambi changu, unaanza kutaka kukiondoaMnaniuaaa mbavu hukuuuu!!
Na uvumilivu piaaaaa...umenipenda vumilia mapungufu yangu nielekeze unishepu kuwa mwanamke unayemtakaaaa kuwa mwanamke wako mwema!!!!!!!
Lakini unapungua ili iweje?Yeah nyingi uongo aisee
labda niende gym nikipunguze
hahah eti ubatili mtupu .
Dada Leo umenikoshaKabisaaaaaaa ...hapo tunaongelea inner character ambazo ngumu kuziona kwa picha wala kwa selfii..... hadi uishi na mtu ndio utabaki kuduwaaaa naroho yako Hivi ni wewAlooooooohh!!! Maisha ni zaidi ya shepu ni zaidi ya sura ni zaidi ya dimples ni zaidi ya sex.... so many things!
Labda kama ulitaka kuteleza tyyuuuNapo Hata kamaaa
Hapo mtu atakwambia uchague kati yake yeye na kitambi chako aah kitambi forevaaa 😍Kabisa uvumilivu muhimu. Sio umenikuta na kitambi changu, unaanza kutaka kukiondoa.
Lakini unapungua ili iweje?
Kwani kuwa bonge mtu unaumwa kichwa?
Hamna kupungua, tule hadi tuwe vipipa tushindwe kutembea wawe wanatubingilisha tu chini tunabingilika kwa raha zetuuu
Mbali nahivo Nina mitabia yangu mibaya inakeraaa inaboaa... naongelea zile sifa za ndaniii Wigee!!Wewe una mapungufu gani
Chuchu 12:00 am o'clock
Tako Tako
Guu guu
Rangi ya nyeupe
Sura inayosadifu..yaliyomo
Midomo ya kunyonywa
Eti wapi ulipo upungufu
mie navaa hiyo hiyo , Nikiwa na kitambi mtu anahisi mie mama K.shibe ndiyo inaumbua. Ukivaa blauz isiyobana hata haliwez onekana.
Zaidi ya dimples ndio 🤣🤣🤣Kabisaaaaaaa ...hapo tunaongelea inner character ambazo ngumu kuziona kwa picha wala kwa selfii..... hadi uishi na mtu ndio utabaki kuduwaaaa naroho yako Hivi ni wew 😳😳😳 😳😳 Alooooooohh!!! Maisha ni zaidi ya shepu ni zaidi ya sura ni zaidi ya dimples ni zaidi ya sex.... so many things🤣🤣😛!
Labda kama ulitaka kuteleza tyyuuu😎Napo Hata kamaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Maisha matamu buana yanini kupeana sitiresi kupeana ma preshaa aaahhh!!Zaidi ya dimples ndio 🤣🤣🤣
Inabidi ieleweke wazi hilo
Tabia zinavumilikaMbali nahivo Nina mitabia yangu mibaya inakeraaa inaboaa... naongelea zile sifa za ndaniii Wigee!!
Hebu toka zako uko usinisingizie mtoto wawatuKama ulishindwa kuniua
Hakuna mwenye ataweza
Hapo sasa, kuzeeshana kabla ya muda inahuuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Maisha matamu buana yanini kupeana sitiresi kupeana ma preshaa aaahhh!!