Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ooh vizuri sana mkuuNzuri kabisa; na hasa ulivoisindikiza na selfie nzuri
Ooh vizuri sana mkuuNzuri kabisa; na hasa ulivoisindikiza na selfie nzuri
Mara hii umeanza kunyanyasa watuMa CEO pekee ndo tunaweza fanya hivyo




Wa kina Amina nao wanajipanga ati🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃😎🌚
Which where who🤣🤣🤣🤣🤣!! Kwani umeweka kitu gani mr vocha au sijaona vizuuureee??? 🤣🤣🤣! Nimeona bonge la mguuu!! 😍Mguu???
Which??
Where??
Wanajipanga wapii tenaa??🤔🤔Wa kina Amina nao wanajipanga ati
Nipigie cmEmuuuu njoo unifundishe
Vitu vya maboss 🤣🤣 sio kila mtu apate accessMara hii umeanza kunyanyasa watu
Hata wiki hujamaliza
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kula sahani mmoja na wewe!!Wanajipanga wapii tenaa??🤔🤔
OohBado sijakata nimevisuka vya Mkono vikue kue tena kwanza
Jaman madam CEO, fanya kama unakosea unatuma kiasi kwa Mpesa yanguMadam CEO kaenda kutoa ada Ticher wa Zamu View attachment 2433395
Wakaribie tyu nao wapate utamuuu! sie Tupo wengi sana you know!!Kula sahani mmoja na wewe!!
Mwanzo ulianzaje?Naanzaje![]()
Sina vocha, tumalize kwanza zile dk zako ulizojiungaNipigie cm