Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni mdogo wangu huyo
Namjua

Watoto wa hivyo na mimi mbingu na ardhi


Ngoja tumwite Coca,ndo pigo zake hizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie hizo sio pigo zangu, kitambaa cha suruali kina meremetaaaa??? Khaaaah wee sitakiiiii
 
mbalizi hatari nanusu huyoooo!! Kuna story zake nilisoma mahala [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Weka mbali na kizazi huyoo[emoji1787]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuambia na huo ufupii, ukute ana kipisii, ila sasa kikisimama dedee, kina hasira ya kutaka kuwa kirefu km hashim thabit, uwiiiiiih.

Wafupi na wanene c wanachokonoaa chokonoaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…