Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna app niliiweka pale ya ku stream nimelipia nimesahau credentials ukinipa tecno itabidi nilipie tena..
Kuna App ya football ninayo
Hata MB 500 hazikatiki Kwa mechi

MB 500 kwako ni kitu kidogo

Halafu hiyo uliyolipia nitaitumia Mimi.
Ni sadaka yako Kwa Mungu.
 
Tinsley

Dear hiyo miwani ya macho au? Mbna km Baunsa mpya ktk night club? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Coca ukiona yangu si utasema mm jambazi sugu
Na nilikuwa naenda nayo hadi church
 
Asante sana Bosi Ledi.

Haka kamama E ni ka kuzeekea sasa. Labda kaje kanikimbie hela za mafao zikiisha [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…