Selfika na JF: Snap it. Show it

Ok!
1-Atakaefungisha ndoa ni Sheikh au mchungaji/padre?
2-Kwani we unaweza kubeba mimba?
 
Mbona midogo kabisa hiyo 😂
Niliwahi tengeneza miwani ya macho mikuuubwa
Hadi nikawa naulizwa mara 2 km kweli naumwa macho
haha pole ,
yangu hiyo ilikuwa Ile ya mastaa
miwani sivai japo ninatamani maana siwezi mwanga .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…